Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

Wewe shabiki makande tena makande ya kilabuni huwezi kuwazuia wahandishi wa habari za michezo kupata za ndani hata siku moja mtu kama ricardo momo au dickson job au anuary binde au shaffii dauda unamzuiaje asipate habari za ndani kutoka yanga.

Na kwa taarifa yako moalini anaenda yanga kuwa msaidizi wa kocha mpya anayekuja.

Gamondi kapewa mechi tatu tu za kimataifa za kumuangalia akizingua wanamtimua akipafomu wanampa muda amalize mkataba wake unaoisha mwakani apite hivi.
 
Unaongea vitu Gani wewe mbona ueleweki? Umesoma vizuri kilichoandikwa au umekurupuka tu kutoka kwenye ulanzi? Nani kaongelea habari ya kushinda sijui mechi 20 hapo? Nimeupongeza uongozi wa yanga kwa utulivu wao wewe unaleta ujinga wako na vitakwimu za kipuuzi, Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu awezi kupelekeshwa na empty brain kama hizi ambazo azijui ata kuchanganua mambo!
 
Gamond alikufata nyumbani kwako kukuhadithia kwamba kapewa mechi 3?
 
Umeongea vyema, ila ukimwa na vitendo uendane na matokeo. Kuna wachezaji wanahitaji wahakikishe wamebadilika au wawapige chini, katika wachezaji hao Aziz K ni mmoja wao. Pumbavu zake kabisa
 
 
Ricardo momo alinipigia simu akaniambia kama tu alivyoniambia molini anaenda yanga.
Ricardo momo ndio mdudu Gani pale yanga? Unameza Kila aina ya udaku alafu unatuletea hapa!
 
Wewe na yeye wala hamna tofauti, wote mnaongea kiunazi. Ligi ya safari hii sio nyepesi sio kwa Simba wala sio kwa Yanga, umesahau Simba imepata point 3 kwa Mashujaa dakika za jioooooni kabisa. Kushinda mechi iliyofuata dhidi ya KMC kumewasaulisha jinsi ligi ilivyo ngumu.
 
Mtoto mdogo wewe umezaliwa jana huwezi kunielewa. Kunywa uji ukalale. Kuna sehemu nimesema simba hawezi kufungwa au haujui kusoma?
 
Ricardo momo ndio mdudu Gani pale yanga? Unameza Kila aina ya udaku alafu unatuletea hapa!
Hapo ulipo huna kadi ya uanachama na hakuna anayekujua ndani ya yanga na kama unayo weka hapa kuna laki 1 moja yako.
 
Sasa Kama Umekwisha pata Wadau Wanaozungumza Ya Kwako Na Ukicheki Kiundani Hayawahusu na Wanayo Ya Kwao Pia ambayo Wanapaswa Kuyazungumzia,,Utazungumza Nini??
 
Mbumbumbu wanaruka na kukanyagana ila wangejua kinacho fuata, wata toa Kila aina ya mlio na hakuna atakaye wasikia.
 
Viongozi wameamua kunyamaza kufanya tathmini ya kina kujua ni wapi waliteleza
Ni vizuri umejua kuwa waliteleza maana hata simba inavyofanya vibaya ni kuteleza huko huko ambako mlikuwa mnafurahia hadi hizi mechi mbili zilizowafanya mvurugane.
 
Nawapongeza kwani waliona aibu kujibu kwa matendo ya aibu wanayofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…