Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa.
Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season hatuna, tunamuomba Rais wetu mtukufu asione aibu kupitisha bakuli ili timu ipate pesa ya kunza pre season mara moja.
Nawahakikishia viongozi wetu mkiketa Masihara kwenye hili suala sisi mashabiki hatuta mvimilia yeyote.
Daima mbele nyuma mwiko.