Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kolo kama koloInauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa.
Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season hatuna, tunamuomba Rais wetu mtukufu asione aibu kupitisha bakuli ili timu ipate pesa ya kunza pre season mara moja.
Nawahakikishia viongozi wetu mkiketa Masihara kwenye hili suala sisi mashabiki hatuta mvimilia yeyote.
Daima mbele nyuma mwiko.
Kweli kabisa! Hata sisi mashabiki hatuta mvimilia kolo yeyote yule atakaye jigeuza kuwa mwananchi.Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa.
Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season hatuna, tunamuomba Rais wetu mtukufu asione aibu kupitisha bakuli ili timu ipate pesa ya kunza pre season mara moja.
Nawahakikishia viongozi wetu mkiketa Masihara kwenye hili suala sisi mashabiki hatuta mvimilia yeyote.
Daima mbele nyuma mwiko.
Hawa jamaa dakika 0 tu watawageuka viongozi wao kwa kuipeleka timu Misri, halafu inafungwa na timu zilizoweka kambi Matombo Morogoro.Ngoja mechi zianze hiyo kambi ya Misri mtaikimbia.