Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Viongozi wa Yanga wajifunze, una mechi muhimu ya kimataifa, unashiriki vikao vya CCM?

Nilimuona Bacca akaenda pembeni ya uwanja, akaweka mswala na kufanya swala
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
Kwani hao viongozi ndio wanacheza uwanjani? Ndio maana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
na wa simba nao wameshiriki, itakuaje?
 
Kabla ya Game muhimu ya leo ya Yanga na MC Alger kupigwa kulikuwa na Mkutano wa CCM Dodoma wenye lengo la Kumteua Steven Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mkutano uliopuuzwa kabisa na Wananchi wote

Huwezi kuwa na mechi kama hii ukaingia kwenye vikao kama hivyo halafu ukategemea ushindi.

Mmevuna mlichopanda
Kwa hiyo wangeingia vya CHADEMA? Anzisheni CHADEMA FC ili viongozi wake wasiwe wanaingia vikao vya CCM.
 
Fuatilia picha za wachezajj yanga kukagua uwanja kabla ya mechi, zile earphone zinatosha kukwambia ni washamba kiasi gani. Unamechi ngum, unapewa fursa ya kukagua uwanja, unaweka phone masikioni unaperuzi huku unazunguka uwanja
 
Shida ya yanga walijiona wakubwa sana wakasau kuwa bado hawajafuzu
 
Ni dhambi kuisema laana hadharani?

Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana

Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
Maumivu ya kichadema.
 
Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana🤣🤣🤣
 
1737207286134.jpg
 
Yanga ni wapumb°vu sana, muda ambao wenzao wanaandaa team wao walikuwa bize kwenye foleni za supu
 
Back
Top Bottom