Tetesi: Viongozi waandamizi wajipanga kuhamia ACT

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Warioba ahamie ACT?? Hao ndio wazee wa CCM waliobakia. Hao ni CCM milele.
 
Dogo usione vya Elea ujue vimeundwa

Yukosahihi ,aende akakijenge Chama huko mashinani ,chadema imeshajijenga inasubiria kuingia ikulu ya Tanzania


Iwekweli au sikweli ila chadema usiichukulie POA.
 
Tatizo la upinde wa mvua ni kwamba hata ubongo huwa haubaki salama kabisa!
Na huyu mleta hiki kituko ni kama alilala mpweke!
Upinde ukanuwasha na akatafuta kukunwa kwa njia hii.
 
Hivi kitoto kidogo ambacho bado kinajikojolea kinawezaji kusingizia uwongo wazee wazima wenye heshima zao?! Hii nchi inaelekea wapi?! Sad
Mkuu!
Huyo anaweza kuwa ni Shoga mkubwa tu.
 
Hawana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania!
 
Bosi hao wazee huwa hawahami chama. Hao mambo yakienda mrama huwa wanabaki tu kuwa wanachama wafu.
 
Mh! Isije ikawa wanakusudiwa kuwa naniliu harafu waseme sababu ya kugombaniwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…