Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Warioba ahamie ACT?? Hao ndio wazee wa CCM waliobakia. Hao ni CCM milele.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la upinde wa mvua ni kwamba hata ubongo huwa haubaki salama kabisa!Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda.
Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia upinzani nilidhani angehamia chadema. Kwa wasiofahamu , kuna kundi la wazee CCM wanafinalize mazungumzo ya kuhamia upinzani ,wazee hao ni Mzee Butiku, Warioba , Ali Karume, Shangazi Karume and the list goes on.
Tatizo lililochelewesha ni msimamo wa ACT kuunga mkono hoja ya serikali kwenye bandari.
Mzee butiku hataki kabisa chama kinachounga mkono uwekezaji huu wa bandari ,lakini wenzake wako tayari.
Sijajua bado kwa nini mzee Warioba hataki kujiunga na chadema .
Rai Yangu, Wazee wangu msihame , mawimbi haya yanapita ,chama bado kinawahitaji sana
Mkuu!Hivi kitoto kidogo ambacho bado kinajikojolea kinawezaji kusingizia uwongo wazee wazima wenye heshima zao?! Hii nchi inaelekea wapi?! Sad
Bonyeza 0Kupata kichekesho kingine kama hiki unapiga namba ipi?
Mleta mada akili kisoda. Hawa wazee wana uwezo wa kupambana humo humo CCM, hawahitaji kuhama . Zitto hovyo kabisa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Warioba ahamie ACT?? Hao ndio wazee wa CCM waliobakia. Hao ni CCM milele.
Wataitwa Ikulu kuonywakuna ambao wamekwama, si unaina akina Msuya wameanza
Hawana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania!Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda.