Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Wewe ni mtoto wa mwsho ?
Kama sio , mbona unapenda sana kudeka deka na kupetiwa petiwa
 
Labda wataenda Lupaso kwenye mazishi yenyewe ukiachilia mbali kuaga.
 
Haya ni mawazo yako, ushirikiano kati ya nchi na nchi ni jambo kubwa kuliko msiba. Hivi mtu kama ametuma salamu za rambirambi na kupepea bendera ya nchi yake nusu mlingoti kwa siku tatu bado haitoshi tu?
Hawa wanachukulia huu msiba kama misiba yao ya uswahilini, jirani asipokuja basi unanuna mwaka mzima.
 
Aliendaga Burundi akawaambia.

Wasiomuunga mkona mkulunzinza ni wehu.
Kisha akapanda ndege akaludi.

Hahahahahahahahaha.
 
Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
 
Haya ni mawazo yako, ushirikiano kati ya nchi na nchi ni jambo kubwa kuliko msiba. Hivi mtu kama ametuma salamu za rambirambi na kupepea bendera ya nchi yake nusu mlingoti kwa siku tatu bado haitoshi tu?
Unakomalia Kenya, vipi kuhusu Uganda na Rwanda? Malawa, Zambia
 
Nchi haifuati protocol za Corona kulingana na maagizo ya WHO, sasa nani amlete kiongozi wake ili aje apambane na COVID bana!! Sasa hivi hatuna record yoyote ile...tupo tupo tu.
 
Ungeelewa na hata Kubobea tu katika Itifaki na Principles zake Kuu wala usingeshangaa kutowaona leo akina Rais Museveni na Rais Kagame Mkuu.
 
Corona
 
Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
Achana na korona mzee. hata NZIGE waliipenda Kenya wakaguezia Rombo wakarudi zao Kenya
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Kenyatta hapendi unafiki,, watanzania wengi tuna unafiki wa kuwango cha juu,,,
 
Ungeelewa na hata Kubobea tu katika Itifaki na Principles zake Kuu wala usingeshangaa kutowaona leo akina Rais Museveni na Rais Kagame Mkuu.
Fafanua kidogo Mzee baba umeishia njiani
 
Sio lazima waje leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…