Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Sasa wakianza kiburi sisi tunamalizia kabisa
 
Rais wa Burundi hawezi kuja. Unakumbuka mara ya mwisho Nkurunzinza kuja hapa alitaka kupinduliwa. Baada ya hapo hakutoka nje ya Burundi tena.

Ambao wanashangaza ni hawa wa SADC na EAC. Lakini pia haishangazi. katika diplomacy kuna kitu tunaita "reciprocity". Mathalani, nchi ikiwawekea raia yako malipo ya visa kwenda nchi hiyo, na wewe unafanya hivyo hivyo kwa raia wa nchi hiyo wanapokuja nchini mwako. Walichofanya SADC/EAC ni reciprocation. Kama unasoma habari, utakuwa umesikia kuwa Marekani wamefunga Ubalozi Mdogo wa China huko Huston. Baada ya hilo, China nao wakafanya hivyo kwa Ubalozi mdogo wa marekani huko Uchina.
 
Jana yenyewe anasema kuwafungia watu ni tabu tupu maana wananchi wanapata shida, chakushangaza yeye anapiga kilaji tu kuna siku kaenda kuzurura mtaani bila hata nepi mdomoni
 
Umesomeka kiongozi
 
Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…