Huyu jamaa atakuwa kashaguswa maslahi yake maana siku hizi utadhani sio yeye aliyemtisha na kumpoteza Ben sananeIngependeza kama ungeanza wewe kusema Ben yuko wapi.
Unapotaka kusafisha anza kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
I advice Ben sikumtisha. AsanteHuyu jamaa atakuwa kashaguswa maslahi yake maana siku hizi utadhani sio yeye aliyemtisha na kumpoteza Ben sanane
Mikono yangu ni safi. Nimesema na ninasema tena nilitoa maoni kutokana na wakati tuliokuwepo kwa masilahi mapana ya wahusika na taifa pia.TumainiEl katika yote ulipaswa uanze na kueleza mlichomfanya Ben Saanane, mipango yenu ya mauaji ya Lissu na uovu wote mlioshiriki. Ukiri na uombe msamaha kwa hayo mliyoyatenda au kuyasimamia.
Upinzani wala hauhitaji sauti yako kuusemea. Lia mbele za Mungu wako kutubu unyama huo uliochafua mikono yako.
Hivi niwewe Tumainiel wa Ben sanane au hacked I'd aiseee unaanza kuwa na akili Sasa!!
Ingependeza kama ungeanza wewe kusema Ben yuko wapi.
Unapotaka kusafisha anza kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app