Chadema susieni uchaguzi.
Mkuu watanzania wanajulikana kwa Unafiki wana Phd za Unafiki hata Mwanaharakati Musiba alisema CCM wapo wengi sanaWatanzania ni watu wa ajabu sana,wanaingiza siasa kila mahali,shauri yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina amani sina chochote cha kuguswa naongea kile nakiona kwa nia njema. This is my country.Huyu jamaa atakuwa kashaguswa maslahi yake maana siku hizi utadhani sio yeye aliyemtisha na kumpoteza Ben sanane
Yesterday was not your country..bcs of tumbo Street.Nina amani sina chochote cha kuguswa naongea kile nakiona kwa nia njema. This is my country.
Hii ni Sawa na kusema aliyepanda juu mngoje ashuke!Mungu atashuka lini ili tukariri tarehe na kuthibitisha?
Ikiwa unapinga serikali iliyopo, na unategemea Mungu ashuke ili kukamilisha upinzani wako, wewe ni sehemu ya tatizo.
Wewe si sehemu ya kumaliza tatizo.
Hakuna Mungu atakayeshuka kukumalizia matatizo yako.
Matatizo yako utayamaliza wewe mwenyewe, kwa hatua utakazochukua wewe mwenyewe.
Ukisubiri Mungu ashuke, utasubiri mpaka ufe, hatashuka.
Kwa sababu hayupo.
Kuna watu wamesubiri Yesu arudi kwa miaka zaidi ya 2000, na hajarudi.
Hatarudi.
Habari ya Mungu kushuka na Yesu kurudi ni ujinga tu watu waliojazwa.
Deus ex machina.
Uzembe
Acha uzembe.
Pigana na hali yako.
Usimsingizie kazi yako Mungu ambaye hayupo na hivyo hawezi kushuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uhovyo unauona wewe,yaani hao unaowategemea ndo juzi juzi wamempa degree ya heshima pale UDOM.Heshima kwa jambo gani la maana alilolifanya,wanajua waoKuna.wakati huwa nafikiri as if taifa halina legend's...
Mambo ni hovyo lakini wao kimyaaaa!!
Chadema susieni uchaguzi.
Makamba mzee alishajitoa siku nyingi hataki hata kuisikia hiyo CCM
Kwani nimekuambia unauona wewe, au?Huo uhovyo unauona wewe,...
Kumbe huyu TumainiEl ni Fafa Fulani tu aliyekuwa anafuata mkumbo na baada ya maslahi yake kuguswa sasa analia kama Mbwa koko!I advice Ben sikumtisha. Asante
vipi umelewa?nimekuquote wapi?au ndo multiple ids?Kwani nimekuambia unauona wewe, au?
Hujijui.vipi umelewa?nimekuquote wapi?au ndo multiple ids?
Nina amani sina chochote cha kuguswa naongea kile nakiona kwa nia njema. This is my country.
Kuna.wakati huwa nafikiri as if taifa halina legend's...
Mambo ni hovyo lakini wao kimyaaaa!!