Viongozi Wakuu Wastaafu CCM nafsi ziwasute msiposimama kusema ukweli 2020


Hao viongozi wakuu wastaafu wa CCM walikuwa madaraka enzi za awamu ya tatu na nne! Walisimamia ufisidi wa viwanda na mashirka ya umma aliyowaachia Watanzania! Walisimamimia upitishwaji wa mikataba ya kinyonyaji(ya Kibeberu) ya nishati na madini, walisimamia uuzwaji wa pwani yote ya Tanzania Bara kutoka Moa mpakani na Kenya mpaka Mtwara/Mikindani bandari ya Bagamoyo ikiwepo kwa wajomba wao wa Oman chini ya mgongo wa China kwa miaka 100(yaani Karne moja)!!!! Bahati iliopo kwa Wa Tanzania, Mungu kamrudisha Mwl Nyerere kwa kiaina yake(special style) Rais Dr Magufuli, ni mzalendo ni Mwl Nyerere II!!!
 
Ccm ni nini kwa sasa mbele nahodha wake. Ukitaja ccm unamlenga nahodha. Ukiitaja dola unamlenga nahola. Sala za waumini ni kwa nahodha. Watu hawajui tena chama wala nchi au taifa. Wanamwangalia mfalme na kumwimbia mapambio.
Imeandikwa, "Itiini mamlaka..." Ccm si mamlaka! Wamezingatia hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi maka
ivi kina membe walishaitwa!? Mrejesho tafadhali
 
Shetani anaimaliza ccm huku,mazee yenye chama Yana Angelia tu shetani mtoa roho wa kihutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…