Ndugu waTanzania wenzangu,
Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu kuomboleza kifo cha rais wetu na bila shaka kwa walio na wajibu kikatiba (mama Samia na wenzake) wataanzia pale Rais wetu alipoishia katika kuliendeleza taifa kwa ufanisi ule ule na hata zaidi.
Nikirudi kwenye lengo la uzi huu. Ni ukweli uliowazi kuwa kipindi hichi cha korona tumepoteza viongozi wakitaifa wengi na kwa muda mfupi sana pengine kuliko kipindi kingine chochote kile katika uhai wa taifa letu huru. Kwa sababu hii trend imejitofautisha na vipindi vingine ningeshauri tuweke rekodi za viongozi wa kitaifa tuliowapoteza kipindi hiki cha sakata la korona duniani (sina maana kwa waliokufa tu kwa ugonjwa wa corona, hata magonjwa mengine kama hili la umeme wa moyo lililopelekea kufariki kwa Rais wetu).
List ninayoikumbuka:
1. Rais John Magufuli,
2. Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Hamad
3. Katibu Kiongozi Balozi John Kijazi
4. Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Augustine Mahiga
5. Retired Minister Seif Khatibu
6. Balozi Bakari Mwapachu
7. Rev. Getrude Lwakatare
8. Mbunge Richard Ndassa
9. Prof. Beno Ndulu-retired BOT governor
10. Augustine Ramadhani-retired chief Justice
11. Mbunge Arcado Ntagazwa
12. Mbunge Atashasta Nditiye
Please add accordingly name nita-update kwenye list