Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

Pole sana

Hujuwi magonjwa yanabuniwa vipi na mabeberu

Mzungu anataka kutawala hii dunia yote
Hizo hizo akili za kijinga ndio zmefanya meko arest. Mzungu akitaka kukuangamiza mbona hata wiki hamalizi. Tunaagiza karbia kila kitu kwao, chanjo tunaagiza kwao miongo mingi tu na hazijatuua leo hii mnajifanya wajuaji
 
Haya niletee hapa hiyo Corona yako niugue

Mtumwa wa wazungu wewe

Corona na ukimwi ni mpango mkakati wa ukoloni mamboleo

Kama wewe una Corona niletee hapa niugue
Dead , Dead, Dead, Deaaaaaaddddd
Six feet under
 
Hizo hizo akili za kijinga ndio zmefanya meko arest. Mzungu akitaka kukuangamiza mbona hata wiki hamalizi. Tunaagiza karbia kila kitu kwao, chanjo tunaagiza kwao miongo mingi tu na hazijatuua leo hii mnajifanya wajuaji
Endelea na ujinga wako
 
Magufuli inabidi aporwe phd yake. Kasababisha watu wengi wafe kwa korona na yeye mwenyewe kafuatia.eti tujifukize mara hofu inaua mara barakoa sina virus mara chanjo sijui nini.
 
Back
Top Bottom