Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

Haya niletee hapa hiyo Corona yako niugue

Mtumwa wa wazungu wewe

Corona na ukimwi ni mpango mkakati wa ukoloni mamboleo

Kama wewe una Corona niletee hapa niugue
Kama Ukimwi na korona ni mkakati vipi unaingia kwenye kipumbavu hapa ndipo unapoziirisha wewe ni mjinga kiasi gani
 
Beno Ndulu
 
Mchungaji Mitimingi. Alitoka tu kumsifia Magofool kuwa ni kiboko ya Corona kesho yake kavuta kamba.

Watakuwa wanapiga story saa hizi huko KUZIMU.
 
Supka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…