Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kabla ya MAGUFULI ulikua team gani1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMAπANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Kosa lipo wapi hapo, mbona nyie mlijisifia kununua au kupewa bus kwa Tundu lisu huko ulaya mkaliweka mpaka kwenye mitandao likiwa na bendela ya M4U ya chadema na mkalitangaza saana mbona hakuna aliyechukia?Mpuuzi kama huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi achilia mbali kuingia Ikulu.
Hawa wote ni wapuuzi hakuna anayefaa urais1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMAπANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Ha ha ha ha ACHA MASKHARA ya kitoto mkuu.....1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMAπANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
π€£Urais simple sana aisee
"Kila anayepinga serikali inaonekana anafaa kuwa Rais"πUpeo mdogo wa fikra ni mbaya sana
kila anayepinga serikali anaonekana anafaa kuwa rais
huyuhuyu pole pole aliyekua anapiga mna na vieite kwa nchi masikini ambayo hadi leo umeme, maji, elimu, Afya na miundombinu Bado Iko chiniβ¦. Huyuhuyu aliyekua anacheza mayenu huku ukawa wanapiga kelele za uonevu
gwajiboy⦠huyu huyu aliyetukana waislamu, na wakatoliki kwenye public , huyu aliyekua Kwenye ile video ya kuanzisha taifa la waislamu?
vijana mnatakiwa mtafute forum humu jf iwe inawapa shule ya historia ya tulipotoka, aina za uchumi tulionao, uwanda mzima wa siasa, katiba na dira za vyama
Pia tuwe na forum ya kuangalia sifa muhimu za potential presidential candidates
rais haokotwi, rais anaandaliwa
πTuko mwaka 2021.
Uchaguzi utakuwa mwaka 2025.
Kuna miaka minne mbele, nenda ukafanye kazi upate mkate wako, muda wa kufanya kampeni haujafika.
Mpuuzi kama huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi achilia mbali kuingia Ikulu.
Na kweli,manake hii nchi kila mtu sasa hv anaona anaweza kuiongoza,bora tuchukue makauzu tuKilichobaki uraisi nipeni mimi tu nitawajali maskini wenzangu sio hao walioshiba
Sio kampeni ni kamati za fitina na majungu ziko kazini. Mleta mada ni mjumbe kwenye hiyo kamatiMmesha anza kampeni?? Ccm mmelogwa na nani??
Eeh tubebane wana JF tuunde chama letu tukamate dolla haiwezekani mrundi atuzidi akili bana Kagame nchi anaiendesha vyedi japo majungu hayaishi ila mambo yanayofanyika yanaonekanaNa kweli,manake hii nchi kila mtu sasa hv anaona anaweza kuiongoza,bora tuchukue makauzu tu
π π π π π π π€©π€©π€©π€©π€© ni kweli namaanisha mkuu ila sio kwa nchi ambayo iko corrupt kwa kiwango hiki cha sasa ambapo ukiwa na ajenda ambayo serikali hawaitaki wanakupa kesi nzito uhangaike nayoIli tuamini kama kweli unamaanisha kutujali,kazichome moto zile chanjo laki saba zilizobakia,tena kazichomee pale getini kwake magogoni