Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

CCM inachosha kweli,lakini hakuna kimbilio.
Ukimulika huko upinzani unawakuta akina RUNGWE,MBATIA,KABWE NA LISU,
Hapo ndio inachosha zaidi.
 
Mpuuzi kama huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi achilia mbali kuingia Ikulu.

Kwanini unalazimisha tuongozwe na watu wenye matatizo ya akili? Kwani ni lazima Tanzania iwe na rais kichaa?
 
Huyo hafai kabisa,anapenda sana kudekezwa
Yaani huyo kwa waliosoma nae pale Ilboru wanamjua alivyosifa kiherehere kujipendekeza kuzamisha watu wote aelee peke yake haoni shida yaani mwigulu ndio [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwanini unalazimisha tuongozwe na watu wenye matatizo ya akili? Kwani ni lazima Tanzania iwe na rais kichaa?
Tuletee nawe listi yako tuone bila kujali itikadi ya chama alichotokea
 
Yaani huyo kwa waliosoma nae pale Ilboru wanamjua alivyosifa kiherehere kujipendekeza kuzamisha watu wote aelee peke yake haoni shida yaani mwigulu ndio [emoji706][emoji706][emoji706]
Huwa ananikera akihojiwa ana tabia ya kurudiarudia maneno
 
Tuletee nawe listi yako tuone bila kujali itikadi ya chama alichotokea
Mimi naweza kukupa vigezo. Waliopo wengi ni matokeo ya mfumo wa udikteta wa jiwe. Mfumo wa mama nao umelenga kuwazuia wanasiasa walio wengi kuonyesha uwezo wao kwa kuzuia, kuhujumu mawazo huru.

Wenye uwezo hawana pa kujionyesha kwa kuwa mfumo na utawala haujalenga kuwapa fursa sawa wale wenye nia hizo.

Kwa sasa hakuna tija ya kutafuta mtu bora kama tuna mfumo wa hovyo. Yeyote atakayepatikana, hata awe bora kiasi kikubwa, bado atajikuta anaogelea kwenye mfumo uleule uliooza, atashindwa
 
Sukuma Gang oyeeeeeeeeee
 
Jasusi wa mbinguni, mtu wa mbinguni, mrudisha misukule, mfufua wafu Gwajima mwongo na tapeli. Labda awe Rais wako na ukoo wako
 
Huyu jamaa ni mchumia tumbo,,,, mpaka Leo kigoma haijaunganishwa kwenye grid ya taifa,,, wanatumia umeme was mafuta na Dr mpango yupo,,, Kama anashindwa kuisaisia kigoma ,, ataweza tz nzima?
 
Unayaweza wewe/ Mbona wanachopigania ni matumbo yao wala lako halimo.
Ukiwasikiliza kwa umakg
Jasusi wa mbinguni, mtu wa mbinguni, mrudisha misukule, mfufua wafu Gwajima mwongo na tapeli. Labda awe Rais wako na ukoo wako
Kwa taarifa yako,Gwajima hadanganyi ila anafanya kukazia tu yaliyoletwa na wazungu kupitia biblia.
 
Huyu jamaa ni mchumia tumbo,,,, mpaka Leo kigoma haijaunganishwa kwenye grid ya taifa,,, wanatumia umeme was mafuta na Dr mpango yupo,,, Kama anashindwa kuisaisia kigoma ,, ataweza tz nzima?
Ataweza
 
First eleven yangu

Innocent Bashungwa
Catherine Ruge
George Simbachawene
Jerry Slaa
John Mnyika
Anthony Mtaka
Malisa GJ
Jokate Mwogelo
Ummy Mwalimu
Bob Wangwe
Abdul Mohamed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…