WeweNani sasa? mimi ninayeita JF? Au wewe unayeita Gf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeweNani sasa? mimi ninayeita JF? Au wewe unayeita Gf?
Mtu yeyote anayefikiri kwamba Gwajima anafaa kuongoza watu ni mtu mwenye akili ndogo sana.1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)
2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)
3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)
4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
Polepole tangu akiwa kwenye tume ya mabadiliko ya katiba alikuwa na dhamira ya dhati ya mabadiliko,na ndio maana akaenda ccm ili akakitekeleze akiwa ndani ya system.Polepole ana uzalendo gani, unasema anunuliki mbona alinunulika na ccm.Unafki na ushamba ndo vimemjaa tu hana lolote.
Katelefoni nae ni bure tu kwanza ni muongo na mnafki.Chama chako hakitakuja kutoa kiongozi bora wa kuwahudimia wananchi.
Gwajboy ndo walewale tu unafki ndo unamsumbua akiwa na Rais anarudisha kichwa ndani kama Kobe.
shame on you
Nimelipokea mkuuWewe
Kwa hiyo unataka kusema jimbo la kawe wana akili ndogo?Mtu yeyote anayefikiri kwamba Gwajima anafaa kuongoza watu ni mtu mwenye akili ndogo sana.
OkKura ni tendo la siri,ila kama watapewa ridhaa na chama hakika hawa watu watavuna kura nyingi ikiwemo ya kwangu
Liambie Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani na huyu Samia, uchaguzi uitishwe fasta, Majaliwa apambane na Lissu. Kidume apewe kombe.1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)
2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)
3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)
4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
Hawajui hata Gwajima amekuwa vipi mbunge wao!Kwa hiyo unataka kusema jimbo la kawe wana akili ndogo?
Umejitahidi ila kwa Lissu hapana atatuuza kwa Amsterdam,halafu anashobokea wazungu hawezi kulinda Mali za nchi,Ana kinyongo kisichoisha mfano kuisema vibaya maiti ya Mwendazake hata kabla ya kuzikwa.Nape Nnauye - Ana kinyongo, kila anachofanya anahitaji malipo... (HAFAI).
January Makamba - Anajiona bora kuliko wengine, mpenda sifa, urafiki kwake ni bora kuliko maslahi ya uma, haionekani kuwa mzalendo! - (HAFAI).
Zitto Kabwe - Fisadi anayetumia akili, mafisadi humtumia kwenye deals zao na wasipomtumia ndo hujitokeza na kujifanya anatetea Watanzania, huyu anaweza uza nchi kisirisiri bila watu kustuka. -(HAFAI).
Heri James, Ally Happy, Jaffo- Hawa wote hutanguliza sifa kwenye utendaji wao na si uzalendo. -(HAWAFAI).
Bashiru Ally Kakurwa - Mzalendo, mchapakazi, anayetanguliza maslahi ya uma kwenye kazi zake. Habagui watu kwa vyama vyao wala dini na ndo maana alibariki wapinzani kupewa vyeo na serikali.
Sio mnafiki ndo maana alimchana live Magufuli kuwa hawezi ongezewa muda.
Hana kinyongo na anaheshimu mamlaka ya juu yake siku zote. -(ANAFAA).
Tundu Lisu - Wakili msomi na jasiri. Haogopi chochote zaidi ya sheria na siku zote amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata katiba mpya. Mtetezi wa wanyonge na amewahi fanya hivyo huko mara kwa wanyonge waliokuwa wakinyanyaswa. - (ANAFAA)
Prof Adolf Mkenda - Huyu ni mchapakazi, mwenye msimamo na asiye na mihemko. -( ANAFAA).
Mkatili sana..nyonganyonga. Ndo maana toka atoke wizara ya mambo ya ndani, hujawahi kusikia mtu ameokotwa kwenye kiroba amekufaHuyo hafai kabisa,anapenda sana kudekezwa
Naomba tu niweke kumbukumbu sawa kwa faida ya baadae. Mkuu mimi siyo mpinzani. Ni Mtanzania tu Mzalendo na mpenda haki.Na siku ikitokea hicho KILIO,basi wa kulaumiwa ni nyinyi wapinzani kwa kushindwa kwenu kuandaa watu makini kwa zaidi ya miongo miwili.
Mnazidi kudumaa siku hadi siku.
Mimi ninaye comment sina chama lakini naamini huu upinzani hasa wa chadema ni genge la wahuni1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)
2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)
3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)
4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
Yaani hata Gwajima na polepole eti nao wanafaa. Hawa hawafai hata kuwa mabalozi wa nyumba kumi wala viranja mashuleni. Hopeless and useless no comparison so to speak.1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)
2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)
3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)
4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
Haihitaji akili nyingi kumbaini LISU hafai,hoja zake nyingi zimejikita kwenye utegemezi au kuwaona wazungu ndio msaada pekee kwa taifa letu(HAFAI)Nape Nnauye - Ana kinyongo, kila anachofanya anahitaji malipo... (HAFAI).
January Makamba - Anajiona bora kuliko wengine, mpenda sifa, urafiki kwake ni bora kuliko maslahi ya uma, haonekani kuwa mzalendo! - (HAFAI).
Zitto Kabwe - Fisadi anayetumia akili, mafisadi humtumia kwenye deals zao na wasipomtumia ndo hujitokeza na kujifanya anatetea Watanzania, huyu anaweza uza nchi kisirisiri bila watu kustuka. -(HAFAI).
Heri James, Ally Happy, Jaffo- Hawa wote hutanguliza sifa kwenye utendaji wao na si uzalendo. -(HAWAFAI).
Bashiru Ally Kakurwa - Mzalendo, mchapakazi, anayetanguliza maslahi ya uma kwenye kazi zake. Habagui watu kwa vyama vyao wala dini na ndo maana alibariki wapinzani kupewa vyeo na serikali.
Sio mnafiki ndo maana alimchana live Magufuli kuwa hawezi ongezewa muda.
Hana kinyongo na anaheshimu mamlaka ya juu yake siku zote. -(ANAFAA).
Tundu Lisu - Wakili msomi na jasiri. Haogopi chochote zaidi ya sheria na siku zote amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata katiba mpya. Mtetezi wa wanyonge na amewahi fanya hivyo huko mara kwa wanyonge waliokuwa wakinyanyaswa. - (ANAFAA)
Prof Adolf Mkenda - Huyu ni mchapakazi, mwenye msimamo na asiye na mihemko. -( ANAFAA).
Hivi mtu kama MBATIA anapataje kugombea nafasi ya uraisi? Si ndo huyu alisema eti baada ya wiki mbili korona itaipiga sana tanzania! wapinzani walichojaliwa ni kuliombea taifa mabaya tu basiMimi ninaye comment sina chama lakini naamini huu upinzani hasa wa chadema ni genge la wahuni
Wanayoyafanya na kupigania kwa taifa hili huyajui mkuu,we huyaweziYaani hata Gwajima na polepole eti nao wanafaa. Hawa hawafai hata kuwa mabalozi wa nyumba kumi wala viranja mashuleni. Hopeless and useless no comparison so to speak.
Kabisa mkuuMkatili sana..nyonganyonga. Ndo maana toka atoke wizara ya mambo ya ndani, hujawahi kusikia mtu ameokotwa kwenye kiroba amekufa