Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

First eleven yangu

Innocent Bashungwa
Catherine Ruge
George Simbachawene
Jerry Slaa
John Mnyika
Anthony Mtaka
Malisa GJ
Jokate Mwogelo
Ummy Mwalimu
Bob Wangwe
Abdul Mohamed
Hapo hakuna hata mmoja mwenye sifa,,,
 
1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)

2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)

3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)

4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)

NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.

Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
Nyoooooooo
 
Najipanga mkuu kuja kuwakomboa. Nakuja na slogan inayosema "TUNAIREJESHA TANZANIA YETU YA ASALI NA MAZIWA"
Inabidi tupiganie private candidate mkuu
Kumbuka late mtikila katika shauri lake bado kuna loop hole ya kupata private candidate
 
Inabidi tupiganie private candidate mkuu
Kumbuka late mtikila katika shauri lake bado kuna loop hole ya kupata private candidate
Kabisa mkuu. ...hivi kusajili chama na kikapata usajili wa kudumu inachukua muda gani? Halafu mbona 2015 ACT Wazalendo ilisajiliwa fasta fasta na ikaingia kwenye kinyang'anyilo cha urais, wabunge na madiwani. Sasa na mimi nataka kupita njia aliyopita Zito Kabwe. Au zito aliruhusiwa kusajili fasta fasta kwa malengo flani?
 
Tafuta political party act ya mwaka 1992 (revsd 2002)
Inakupa mchakato wote huo
 
FB_IMG_16310431949287831.jpg
 
Mimi naweza kukupa vigezo. Waliopo wengi ni matokeo ya mfumo wa udikteta wa jiwe. Mfumo wa mama nao umelenga kuwazuia wanasiasa walio wengi kuonyesha uwezo wao kwa kuzuia, kuhujumu mawazo huru.

Wenye uwezo hawana pa kujionyesha kwa kuwa mfumo na utawala haujalenga kuwapa fursa sawa wale wenye nia hizo.

Kwa sasa hakuna tija ya kutafuta mtu bora kama tuna mfumo wa hovyo. Yeyote atakayepatikana, hata awe bora kiasi kikubwa, bado atajikuta anaogelea kwenye mfumo uleule uliooza, atashindwa
Hao
Najipanga mkuu kuja kuwakomboa. Nakuja na slogan inayosema "TUNAIREJESHA TANZANIA YETU YA ASALI NA MAZIWA"
Hebu nitajie makamu na waziri mkuu wako nione
 
Kwenye nafasi ya urais hakuna wa kuweza kupambana na Askofu Gwajima!! Gwajima hana mpinzani!! Pole pole alijichanganya kwenye mchakato wa katiba mpya! Hawezi tena kuaminika!! Tumbo linamsaliti!!!!
 
Kabisa mkuu. ...hivi kusajili chama na kikapata usajili wa kudumu inachukua muda gani? Halafu mbona 2015 ACT Wazalendo ilisajiliwa fasta fasta na ikaingia kwenye kinyang'anyilo cha urais, wabunge na madiwani. Sasa na mimi nataka kupita njia aliyopita Zito Kabwe. Au zito aliruhusiwa kusajili fasta fasta kwa malengo flani?
Unakikumbuka ccj!?
 
Kwenye nafasi ya urais hakuna wa kuweza kupambana na Askofu Gwajima!! Gwajima hana mpinzani!! Pole pole alijichanganya kwenye mchakato wa katiba mpya! Hawezi tena kuaminika!! Tumbo linamsaliti!!!!
Alipokuja CCM alianza taratiibu kuibadili ili iendane na kile akichohubiri kwenye mchakato wa katiba.
Kama huwezi pambana nao ungana nao
 
Kutwa wanawaza maslahi yao
Kusifia magari yaliyotengenezwa na watu wengine badala ya kusifia maendeleo tuliyoyafanya sisi naona Kama aliyetuloga kaitwa na Mungu kwenda kueleza kwa nini ametu_ overdose.!
 
Sema Tanzania Nchi ya ajabu usishangae pole pole au Gwajima kuchukua fomu ukiuliza CV yake eti alikataa chanjo ya Corona...
 
Another hilarious joke borne of mediocrity.

Hii kuamini kuwa kuna watu fulani ndio wanafaa kuongoza nchi hii huku uwanja wa kujitokeza umedhibitiwa kama kuba ya hazina (treasury vault) ya BOT, ni kielelezo cha ujinga mkubwa uliotughubika. Nchi ina watu wazima zaidi ya 30 m wenye talanta kibao.

Tunapeana ujinga kufikiri kwamba kuna kikundi cha watu wasiozidi 20 ndio wanastahili kuchambuliwa na kuchaguliwa uRais. Eti Rais anaandaliwa kwa miaka. Eti kuna deep state inayohusika. Eti wananchi hawawezi kuelewa haya mambo. IT’S ALL HOGWASH BS. Tunatafuta Rais kama masihi anayesubiriwa na taifa la wayahudi! Hata wao wliamua kuwa REALISTIC na kuacha na na porojo hiyo; wakaanzisha a secular democratic state of Israel.

Ndio maana hadi leo hii tumebakia kuwa banana republic bila mwelekeo. Mara Tanzania ya viwanda, mara miradi ya mkakati, mara tuko uchumi wa kati, halafu mara tunafufua na kufungua uchumi uliokuwa na hali mbaya sana, n.k.

Tanzania itakuwa na Rais na viongozi wa maana pale kura za wananchi ndizo zitakuwa zinaamua nani aongoze nchi. Na wananchi hao hao kupitia katiba, mahakama na Bunge watakuwa na uwezo wa kuwawajibisha viongozi wote pale wanapoamua. Hakuna njia ya mkato: PEOPLE’S VOTES MUST COUNT. Nje ya hapo tusahau ustaarabu na maendeleo; tuendelee na mafia state yetu mpaka mabaradhuli (in Jenerali’s voice) watakapotusaidia kurejea akili zetu.
 
Back
Top Bottom