Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

[emoji23] [emoji23] kwahiyo wafuas wa Mungu ni hawa wa afrika!! Kina Mugabe, Museven, Pombe, mswati, Zuma!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijamaanisha hivyo,Mugabe na ulio wataja hawana inluence yoyote katika ulimwengu huu,zaid huwez kuelewa vizur,hao akina Netanyau ndio Ma baba wa ulimwengu huu,wamefanya mengi na wanaendelea kuyafanya kuu hadaa ulimwengu
 
Al-Watan bana...unajua hujajibu kabisa swali langu?
Kwa sababu limeulizwa katika msingi wa kwamba IQ ina maana.

Mimi naubomoa msingi wa swali.

Ni kama umeniuliza, "Wimbo wa taifa una rangi gani?".

Nikianza kukujibu hatutaelewana, shurti nianze kukuhoji inakuwaje wimbo wa taifa uwe na rangi wakati wimbo hauna rangi?
 
Sijamaanisha hivyo,Mugabe na ulio wataja hawana inluence yoyote katika ulimwengu huu,zaid huwez kuelewa vizur,hao akina Netanyau ndio Ma baba wa ulimwengu huu,wamefanya mengi na wanaendelea kuyafanya kuu hadaa ulimwengu
Unaweza ukawa na uwezo na uwezo wako ukafunikwa usionekane
 
Back
Top Bottom