Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

MAgufuri hyupo??? Hao waongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningeliambiwa nitaje wenye akili mbovu au au matahira au vichaa wasafi wa suti au vichwa panzi nadhani page isingelitosha na pasingelitosha si mnajua tena.
 
Eh bana eeh...basi we mkali sana!

Kama praimare ulipata zaidi ya 100 sasa hivi si utapata zaidi ya 200 kabisa!

😀😀
It is so Euclidean in its axiomatic structure.

Kuna kipande kimoja kilikuwa kinapiga Ph.D ya mambo ya saikolojia ndiyo kazi zao kupima watu akili, nilikuwa nikikibana kinakubali tu kwamba kupima IQ ni uzushi na unavyozidi kusoma haya mambo kwenye level hiyo ya Ph.D na kupima kweli unajua IQ is so crude.
 
Huyo si yule wa Spelman kweli? 😀
 
Kwenye IQ level kuna moja inaitwa PROFOUND usiombe kukutwa nayo..
 
Mkuu ebu the tuletee na list ya viongozi wenye IQ ndogo kabisa , haswa haswa viongozi wa nyumbani tz. Naamini yule mfoji vyeti ndio atakuwa anaongoza.
 
Back
Top Bottom