Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Intelligence ni nini?Mkuu nipe elimu kuhusu masuala ya IQ yananiwazisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intelligence ni nini?Mkuu nipe elimu kuhusu masuala ya IQ yananiwazisha sana
Kwa sababu limeulizwa katika msingi wa kwamba IQ ina maana.
Nani amekwambia mkuu au na ww unaamin story za kuambiwaisraeli taifa la mungu
Hao wenye IQ kubwa wamepimwa kwa yapi? maana tunaambiwa tu kiwango cha IQ zao.Ingekuwa wanaongelea wenye IQ ndogo zaidi na ubabe mwingi hakika Sizonje angeshika namba 1
Umechagua kutoiona qualification niliyoiweka ya kwamba "hata kama ukiikubali IQ, 100 ni ya kawaida sana"Unajua kwa nini limeulizwa kwa msingi huo? Kwa sababu wewe mwenyewe umesema/andika kuwa IQ ya 100 ni ya kawaida sana.
Ndo nami nikataka kujua isiyo ya kawaida ni ngapi?
Hivyo tu, basi.
Umechagua kutoiona qualification niliyoiweka ya kwamba "hata kama ukiikubali IQ, 100 ni ya kawaida sana"
Nishawahi kufanya mitihani ya IQ na kupata zaidi ya 100 nikiwa shule ya msingi, ndiyo maana nasema hiyo score ya 100 ni ya kawaida sana.
Positive JNyerere alikuwa akili sanaMwalimu nyerere anawazidi wengi kati ya hao uliowataja.
IQ ya 90 na kitu ni IQ kubwa?.
Exceptional ni kuanzia 120s au 130s. Average inaanzia mid 90s to mid 110s au 120s.
Hiyo tu ni list ya viongozi ambao IQ zao zilipimwa. Sio the best. Kwa sababu zingine hapo ni below average.
Mkuu nimewataja mimi au? ni hiyo site hapo juu ndio utafiti waliofanyaMwalimu nyerere anawazidi wengi kati ya hao uliowataja.