Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
HAHA unapaniki kama daudi dah.we jamaa mbona hovyo sana wacha mods wafanye kazi yao sio wewe kama ni ya huko wata merg:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHA unapaniki kama daudi dah.we jamaa mbona hovyo sana wacha mods wafanye kazi yao sio wewe kama ni ya huko wata merg:
IQ nadhani ndo wanaita hisa ya akili kwa kiswahili. kutambua hisa ya akili ya mtu kuna hesabu zake. Ngoja niwatafute wajuzi wa mambo haya kisha nilete njia tuweze kupambanua IQ za watu na sio kwa kubuni.IQ hupimwa kwa vigezo gani, hii itatusaidia hata sisi kama sisi kujipima, na sio mtu anakupima alafu anakumba range ya IQ, hii sometimes imekaa kushoto
hii itanisaidia hata mmi mwenyewe kukagua ya kwanguIQ nadhani ndo wanaita hisa ya akili kwa kiswahili. kutambua hisa ya akili ya mtu kuna hesabu zake. Ngoja niwatafute wajuzi wa mambo haya kisha nilete njia tuweze kupambanua IQ za watu na sio kwa kubuni.
hahaha,ndio maana kila siku wimbo ule ule wa niombeeni 😀😀😀Sizonje IQ yake itakuwa Negation ya netanyau yaani hasi 180 na Mara chache huwa inapanda kufikia 0
Umeusahau ule wimbo mkuu eti mbeleko haitokatika kamwe.daima mtabaki juu ya mgongo wangu.[HASHTAG]#SITOWAANGUSHA[/HASHTAG].hahaha,ndio maana kila siku wimbo ule ule wa niombeeni 😀😀😀
hahahah, bonge la IQ hadi harmoraper anasubiri mkuuUmeusahau ule wimbo mkuu eti mbeleko haitokatika kamwe.daima mtabaki juu ya mgongo wangu.[HASHTAG]#SITOWAANGUSHA[/HASHTAG].
Halafu JF mmeshampunguzia mkuu wa mkoa msubiri Malaika wake washuke siku anaapisha RC mpya.hahahah, bonge la IQ hadi harmoraper anasubiri mkuu
wapi lipumpa![]()
Rekodi ya Dunia ya watu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi (IQ) ni Wanasayansi na wachezaji Chess lakini pia unaweza ukawa umewahi kujiuliza ni kiongozi gani mwenye akili zaidi Duniani, nimekutana na list hii kutoka www.topteny.com inakuletea majina ya viongozi waliothibitika kisayansi kuwa na IQ kubwa zaidi duniani.
1:Benjamin Netanyahu (Israel) – IQ=180
Huyu ni Waziri mkuu wa Israel na anatajwa kuongoza kuwa na IQ ya 180, kwa mujibu wa score za IQ, Benjamin Netanyahu anauwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo na kutatua maswali magumu.
![]()
Benjamin Netanyahu
2: John Quincy Adams (USA) – IQ=175
Alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka 1825 mpaka 1829 ana IQ level ya 175 , ambayo ni kubwa zaidi ukilinganisha na marais wengine wa Marekani.
![]()
John Quincy Adams
3: Joachim Palme (Sweden) – IQ=156
Waziri mkuu wa sita wa Sweden Joachim (1969-1976), ukiacha mchango wake mkubwa katika kuchangia nchi nyingi kupata uhuru pia anaweka rekodi ya kuwa kiongozi namba tatu kuwa na IQ kubwa zaidi Duniani.
![]()
John Quincy Adams
Abraham Lincolin ni mmoja kati ya Marais waliowahi kupendwa sana Marekani na amekuwa mdau mkubwa sana wa Demokrasia,pia anatajwa kuwa na IQ ya 150.
![]()
Abraham Lincoln
5: George Washington (USA) – IQ=140.
Rais wa kwanza wa Marekani George Washington anajulikana zaidi kwa mchango wake mkubwa wa kuiletea uhuru Marekani pia anatajwa kuwa katika list ya viongozi 10 wenye IQ ya 140.
![]()
George Washington
6: Thomas Jefferson (USA) – IQ=138
Thomas Jefferson anatajwa kama Rais aliyechangia maendeleo ya mwanzo ya Marekani, wanasayansi wanamtaja kuwa na IQ level ya 138.
![]()
Thomas Jefferson
7: Richard Nixon (USA) IQ =132.
Baada ya kujiuzulu kwenye kiti cha urais Richard Nixon alipata upinzani mkubwa sana lakini hiyo haikumuondolea sifa ya kuwa kwenye list ya viongozi wenye IQ kubwa, ambapo ana IQ ya 132.
![]()
Richard Nixon
8: John F. Kennedy (USA) – IQ=117.
Alikuwa Rais wa 35 wa Marekani na Rais mdogo zaidi kuwahi kuchaguliwa na taifa hilo akiwa na umri wa miaka 43 tu wakati huo, Kennedy anatajwa kuwa na IQ level ya 117.
![]()
John F. Kennedy
9: Ferdinand Marcos (Philippines) – IQ=98.01
Anajulikana kama Rais aliyeshikilia kiti cha Urais kwa muda wa miaka 20, anatajwa kuwa na IQ ya 98.01
![]()
Ferdinand Marcos
10: Dr. Ing. Bacharuddin Jusuf Habibie (Indonesia) IQ = 97.0 1
Akiwa na umri wa miaka 38 tu alitajwa kama mtu mwenye IQ kubwa baada ya kugundua teknolojia ya kupunguza ajali za ndege, alitajwa kuwa na IQ level ya 97.1
![]()
Dr. Ing. Bacharuddin Jusuf Habibie
huyo sii ndio pumbavu wa mwisho kabisakwa hiyo afrika hata sizonje hawajamuweka?
hahaha, ngoja wale voda fasta wakuzingirehuyo sii ndio pumbavu wa mwisho kabisa
...geKudadeq zako mara ngap mmekatazwa ku quote uzi mrefu , acha ubwe.....
mimi ni mtu huru nina akili timamu mtu hawezi kuni brainwash kizembe hiviSwali zuri, haiwezekani karibia list yote ni wamarekani tu.
Nyerere ulitaka awekwe kwa uzuri wa jambo gani alilo litenda la akili nyingi. ???Duh! Hata siamini, sababu IQ nyingi hapo zimepikwa tu ili kuwapaisha watawala wa kizungu.
Iv kiongozi kama Mwlm Nyerere anaachajwe kwa mfano?