If you are smart enough utagundua anachoongelea jamaa unafunga barabara saa tatu msafara unapita saa tano.Mkuu mpaka leo hujajua hatar ya kiongozi hasa namba moja kukaa foleni na magari binafsi bila sababu za msingi. Nazan umeamua utuzingue tu bana.
MkuuMisafara ya VIONGOZI wakubwa iko katika PROTOKALI.....wafanyeje sasa,wasipite barabarani na kuanza kutumia helikopta?!!!!!!😳😳😳
Ndio ,mwaka jana Jakaya alikuja kama mara mbili huku Tanga akiwa anaenda ukweni kwa mzee Asasi magari yote ylikuwa yanawekwa pembeni kupisha njia .Anakuwa na gari tatu moja la kingora ,la pili lake na latatu la wasindikizaji.Naomba kufahamishwa
Hv na marais wastaafu na wenyewe misafara yao barabarani ipoje?
Huwa magar yanazuiliwa yasipite hadi wao wapite au inakuwaje
Hii ni kero ambayo nahisi imebarikiwa kabisa na mamlaka.
Hauwezi kunikalisha barabarani mda mrefu kisa wewe una msafara wako misafara ambayo haina hata maana.
Nimetoka ku experience huu upuuzi mda si mrefu.
Kuna haja ya hili kuangaliwa kwenye katiba mpya
Kuna haja ya hili kuangaliwa kwenye katiba mpya
DahKwa kweli ni kero sana, kuna siku tumesimamishwa pale Mikese mizani karibu nusu saa, eti tunasubiri IGP apite nikabaki nimeduwaa. Hadi IGP anasimamisha watu na shughuli zao
OohNdio ,mwaka jana Jakaya alikuja kama mara mbili huku Tanga akiwa anaenda ukweni kwa mzee Asasi magari yote ylikuwa yanawekwa pembeni kupisha njia .Anakuwa na gari tatu moja la kingora ,la pili lake na latatu la wasindikizaji.
😑Iliyopo tu haitumiwi wala hawaitaki, hiyo mpya wataileta ya nini?
Au kama vipi watengeneze barabara zao. Waache kujiona wao ndiyo wenye thamani na wanaojali muda kuliko wengine.Hii ni kero ambayo nahisi imebarikiwa kabisa na mamlaka.
Hauwezi kunikalisha barabarani mda mrefu kisa wewe una msafara wako misafara ambayo haina hata maana.
Nimetoka ku experience huu upuuzi mda si mrefu.
Kuna haja ya hili kuangaliwa kwenye katiba mpya
Ndiyo mkuuWengine sio namba moja
Na Madelu ana misafara,source aliposema tuhamie BurundiKawaida wenye msafara ni
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mkuu wa majeshi
Hao wengine wanalazimisha tu
Dereva gani wa ambulance ataingilia msafara wa Rais?Acha kukariri!
Dogo si mliwachagua wenyewe?If you are smart enough utagundua anachoongelea jamaa unafunga barabara saa tatu msafara unapita saa tano.
Wewe unashangaa IGP? Hadi chaka polepole eti kalikuwaga na msafara na kusimamisha watu.Kwa kweli ni kero sana, kuna siku tumesimamishwa pale Mikese mizani karibu nusu saa, eti tunasubiri IGP apite nikabaki nimeduwaa. Hadi IGP anasimamisha watu na shughuli zao
Niliwahi kuona msafara wa Meya wa jiji la MwanzaNa Madelu ana misafara,source aliposema tuhamie Burundi