Viongozi wanaotukalisha barabarani ili misafara yao ipite hawajali wala kuheshimu muda wetu

Mkuu ulitaka ukae naye kwenye foleni,
hapana, hakutaka akae nae kwenye foleni

hakukuwa na foleni kabla Rais hajaja na msafara

Rais angeweza kujiunga na flow of traffic bila kutengeneza traffic nightmare
 
hapana, hakutaka akae nae kwenye foleni

hakukuwa na foleni kabla Rais hajaja na msafara

Rais angeweza kujiunga na flow of traffic bila kutengeneza traffic nightmare
Kwakuwa wee bado ni kijana hujui kesho yako, tutaona kwenye utawala wako.
 
Katika vitu vinavyokera ktk maisha ni misafara isiyozingatia maisha ya watu wengine mnawekwa kwnye foleni massa 2 kumbe mtu hajaamka yupo kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…