baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Viongozi wanaotuongoza wamejilimbikizia ukwasi ambao ni kufuru kwa MUNGU. Wako tayari hospital zikose dawa wananchi wafe hospital kukosekana dawa ila wao na familia zao zinapata matibabu ulaya. Mwanza kuna ziwa victoria lakini wananchi wa mwanza maji ya kutumia nyumbani ni kama ndoto ya mchana. Wenzetu walishatoka kwenye steji ya kuibia wananchi wanaiba kwenye nchi nyingine wanaleta nyumbani na kutekeleza ,kuwaletea wananchi maendeleo.
Viongozi wa Afrika wanaweza kuwa na msululu wa magari wanaenda kuzindua tank la maji ambalo halizidi hata milioni 500 wakati wao gharama waliotumia kufika kwenye tank la maji ni zaidi ya milioni 500 afrika.
Afrika ndo unaweza kukuta waziri mkuu anatumia gharama kubwa kuzunguka kutatua kero za ndoa mahusiano😂😂 waafrika ni Janga kubwa wako tayari kuua mamilioni ya watu ila wao waendelee kubaki madarakani shame on you Afrika