Viongozi wanaotuongoza wamejilimbikizia ukwasi ambao ni kufuru kwa MUNGU

bila kuondokana na unyonge wa kiuchumi, utaendelea kua na fikra nonsense na mihemko useless kama hivyo maisha yako yote gentleman 🐒
Ndio mana ww umeajiriwa kusifia Kila upuuzi ilimradi uwe huru kiuchumi? Bk 7 haikufikishi popote na uteuzi hupati mana hapo kwenye mifumo
 
Chanjo ukichanganya na imani za kibubusa ni usukukule primium
 
Yes,
bila hivyo utalalamika na kulaumu wengine maisha yote gentleman.

ni kuchapa kazi tu 🐒
Mzee Toka umepewa hako kanafasi unawaona watu wengine kama vile hwajisghulishi. Kila kitu kina mwanzi na mwisho. Kiukweli Pesa zinapigwa
 
Gentleman,
nachapa kazi ya kilimo, ufugaji na biashara mbaya sana aise. Lakini pia kaz ya kutumikia wananchi, uhadhiri mavyuoni na hii ya siasa niko naifanya kwa weledi mkubwa aise.

nilipokua mvivu nilikua na wivu na mihemko useless kama yako tu gentleman, baadae nikagundua kua unyonge wa kiuchumi ndio sababu ya yote hayo, na mdogo mdogo, nikaingia shambani kwa ushauri wa wadau wa JF n.k

saivi mihemko nonsense naiona na kuiskia tu kwa wavivu na wanyonge wa kiuchumi 🐒
 
Nijifuze kwako mkuu nifanye kilimo
 
Mkuu nipo Kanda ya ziwa nipe kazi ya kukutafutia samaki na dagaa safi kabisa kutoka Kanda hii, nipe kazi mkuu
 
Back
Top Bottom