Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Mkuu, what’re you up to with this salvo of rants? Are politicians capable of deleting anyone’s post on this platform?Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Sikubaliani na wewe kwenye mambo mengi uliyoandika, ila moja nililokubali kwa zaidi ya 100% ni hili la "psychological colonization."Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Na ndiyo maana Mwl. Nyerere aliondoa neno "Mheshimiwa" akaweka "Ndugu" kwenye mwanzo wa jina la wenye vyeo serikalini na hata kwa wananchi wa kawaida. Siku hizi neno "Ndugu" linatumika kwa nadra sana na neno "Mheshimiwa limeshika kasi.Sikubaliani na wewe kwenye mambo mengi uliyoandika, ila moja nililokubali kwa zaidi ya 100% ni hili la "psychological colonization."
Najua kuwa rais Clinton na rais Obama wana digrii za Juris Doctor, na vile vile Condoleeza Rice aliingia serikalini akiitokea kuwa Provost wa Stanford akiwa professor kamili mwenye Ph.D ya uhakika lakini miaka yake yote minane serikalini alikuwa akiijulikana kama Secretary Rice (siyo Secretary Doctor Rice au Secretary Professor Rice), wakati Obama na Clinton walijulikana kama President Obama na President Clinton respectively (Siyo President Dr Obama au President Dr Clinoton) licha ya kuwa walikuwa na honorary doctorate degrees nyingi sana, na Obama alikuwa hata na Nobel Prize.
Sasa ninachokubaliana nawe ni hicho cha viongozi wetu wenye elimu za kuungaunga kutaka watambuliwa kuwa ni wasomi ilhali vichwani ni weupe!
Where have you been all these years, prof.? I admit, first time gleaning your tit bits.Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Na hiyo mheshimiwa inayodaiwa kwa nguvu, ni ya wizi wa mali za umma; ufisadi na kila takataka ya maovu. Sasa hata wanaowaua ndugu zetu wanadai kuwa waheshimiwa!Na ndiyo maana Mwl. Nyerere aliondoa neno "Mheshimiwa" akaweka "Ndugu" kwenye mwanzo wa jina la wenye vyeo serikalini na hara kwa wananchi wa kawaida. Siku hizi neno "Ndugu" linatumika kwa nadra sana na neno "Mheshimiwa limeshika kasi.
U Sound too arrogant! Wewe ni mhaya? Elimu yako imekusaidia nini kama wewe binafsi imeshindwa kukuelimisha?Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Haya mambo ya kujitambulisha kisomi yalianzia kwenye chi za kiafrika, hasa Nigeria.Sasa ninachokubaliana nawe ni hicho cha viongozi wetu wenye elimu za kuungaunga kutaka watambuliwa kuwa ni wasomi ilhali vichwani ni weupe!
There can be no more "arrogance" than those pretending to be what they claim to be. However, having said that much, I agree the good Prof. comes out as having a chip on his/her shoulder, which was quite unnecessary.U Sound too arrogant! Wewe ni mhaya? Elimu yako imekusaidia nini kama wewe binafsi imeshindwa kukuelimisha?
Freedom of speechU Sound too arrogant! Wewe ni mhaya? Elimu yako imekusaidia nini kama wewe binafsi imeshindwa kukuelimisha?
Sijamzuia kusema..mdomo ni mali yake binafsi,na kwa kua ubongo na mdomo tajwa una makazi yake ya kudumu maeneo ya kichwani basi itishe kusema vyote ni mali yake. Alete hiyo tasnifu yake hapa aitetee tumpime uwezo wake wa kufikiri badala ya kutumia lugha anayofundisha ras Simba kujipambanua ni msomi ili hali hajaelimika. AsanteFreedom of speech
Why you are offended?
Hivi kIU ni Chuo kinachotambulika kama Chuo KikuuYaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Umejichanganya sana. Next time don't drink too much before posting.Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Lugh yako ni mbovu kwa kiswahili au kiingereza, yote mbovu.Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?
Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.
Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.
Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.
Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Nimecheka!! Kuna RC mmoja alizungusha 0, ila kwa muonekano na upiga sound kwenye media ni zaidi ya professor!Haya mambo ya kujitambulisha kisomi yalianzia kwenye chi za kiafrika, hasa Nigeria.
Mimi nilikuwa sijawahi kusikia msomi wa fani ya uhandisi akijitangaza kuwa Mhandisi...
Na sasa wasomi wetu wa Sheria nao Title yao ni "Msomi...." Sijui wenye digrii za Biology, Geography, n.k. nawao wataanza kuwa na Biol......; Geogr..... n.k.
Naona Makala, Katibu Mwenezi wa CCM yeye ni CPA Makala, bila shaka CPA ikiwa na maana ya Certified Public Accountant?
Yote haya ni ulimbukeni tu, sawa na kuwavisha majoho ya kuhitimu watoto wa chekechea.
BTW: Hivi hakuna aliyekwisha mtunuku u-daktari rais pendwa Trump? Ingekuwa hapa kwetu vyuo vyetu vyote vingekuwa vinakanyagana kuwahi kumtunuku u-daktari wa heshima, na yeye awe Dr, Trump!