Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.

Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?

Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.

Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.

Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.

Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.

Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
 
Mkuu, what’re you up to with this salvo of rants? Are politicians capable of deleting anyone’s post on this platform?
 
Sikubaliani na wewe kwenye mambo mengi uliyoandika, ila moja nililokubali kwa zaidi ya 100% ni hili la "psychological colonization."

Najua kuwa rais Clinton na rais Obama wana digrii za Juris Doctor, na vile vile Condoleeza Rice aliingia serikalini akiitokea kuwa Provost wa Stanford akiwa professor kamili mwenye Ph.D ya uhakika lakini miaka yake yote minane serikalini alikuwa akiijulikana kama Secretary Rice (siyo Secretary Doctor Rice au Secretary Professor Rice), wakati Obama na Clinton walijulikana kama President Obama na President Clinton respectively (Siyo President Dr Obama au President Dr Clinoton) licha ya kuwa walikuwa na honorary doctorate degrees nyingi sana, na Obama alikuwa hata na Nobel Prize.

Sasa ninachokubaliana nawe ni hicho cha viongozi wetu wenye elimu za kuungaunga kutaka watambuliwa kuwa ni wasomi ilhali vichwani ni weupe!
 
Na ndiyo maana Mwl. Nyerere aliondoa neno "Mheshimiwa" akaweka "Ndugu" kwenye mwanzo wa jina la wenye vyeo serikalini na hata kwa wananchi wa kawaida. Siku hizi neno "Ndugu" linatumika kwa nadra sana na neno "Mheshimiwa limeshika kasi.
 
Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Where have you been all these years, prof.? I admit, first time gleaning your tit bits.

Wish you had focused on the 'Mada' Heading more, than you did by meandering in the meadows.
Specifics matter a lot more in these forums than generalization.
Look forward reading more from you in the future.
 
Na ndiyo maana Mwl. Nyerere aliondoa neno "Mheshimiwa" akaweka "Ndugu" kwenye mwanzo wa jina la wenye vyeo serikalini na hara kwa wananchi wa kawaida. Siku hizi neno "Ndugu" linatumika kwa nadra sana na neno "Mheshimiwa limeshika kasi.
Na hiyo mheshimiwa inayodaiwa kwa nguvu, ni ya wizi wa mali za umma; ufisadi na kila takataka ya maovu. Sasa hata wanaowaua ndugu zetu wanadai kuwa waheshimiwa!
 
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.

Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?

Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.

Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.

Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.

Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.

Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
U Sound too arrogant! Wewe ni mhaya? Elimu yako imekusaidia nini kama wewe binafsi imeshindwa kukuelimisha?
 
Sasa ninachokubaliana nawe ni hicho cha viongozi wetu wenye elimu za kuungaunga kutaka watambuliwa kuwa ni wasomi ilhali vichwani ni weupe!
Haya mambo ya kujitambulisha kisomi yalianzia kwenye chi za kiafrika, hasa Nigeria.

Mimi nilikuwa sijawahi kusikia msomi wa fani ya uhandisi akijitangaza kuwa Mhandisi...
Na sasa wasomi wetu wa Sheria nao Title yao ni "Msomi...." Sijui wenye digrii za Biology, Geography, n.k. nawao wataanza kuwa na Biol......; Geogr..... n.k.
Naona Makala, Katibu Mwenezi wa CCM yeye ni CPA Makala, bila shaka CPA ikiwa na maana ya Certified Public Accountant?

Yote haya ni ulimbukeni tu, sawa na kuwavisha majoho ya kuhitimu watoto wa chekechea.

BTW: Hivi hakuna aliyekwisha mtunuku u-daktari rais pendwa Trump? Ingekuwa hapa kwetu vyuo vyetu vyote vingekuwa vinakanyagana kuwahi kumtunuku u-daktari wa heshima, na yeye awe Dr, Trump!
 
U Sound too arrogant! Wewe ni mhaya? Elimu yako imekusaidia nini kama wewe binafsi imeshindwa kukuelimisha?
There can be no more "arrogance" than those pretending to be what they claim to be. However, having said that much, I agree the good Prof. comes out as having a chip on his/her shoulder, which was quite unnecessary.
I believe that's his way of expressing himself, which may seem entertaining to some readers.
 
Freedom of speech
Why you are offended?
Sijamzuia kusema..mdomo ni mali yake binafsi,na kwa kua ubongo na mdomo tajwa una makazi yake ya kudumu maeneo ya kichwani basi itishe kusema vyote ni mali yake. Alete hiyo tasnifu yake hapa aitetee tumpime uwezo wake wa kufikiri badala ya kutumia lugha anayofundisha ras Simba kujipambanua ni msomi ili hali hajaelimika. Asante
 
1746238929072.png
 
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.

Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?

Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.

Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.

Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.

Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.

Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Hivi kIU ni Chuo kinachotambulika kama Chuo Kikuu
 
Usomi wa Wazanzibar unaathiriwa na imani kali za kidini na kisiasa .

Nilikutana na Mzanzibari mmoja tukawa tunajadili masuala ya imani za kigeni .
Nikamwambia wakati mwingine tunatakiwa tufikiri mbali zaidi nia za hao wageni wanaotumia dini kama chombo cha kuja kwetu lakini wanavutiwa zaidi na rasilimali zetu kuliko utu wetu kama binadamu wenzao.
Yaani wanatuambia kuhusu Maisha ya ahera lakini wao muda mwingi wanawaza rasilimali zetu na kujilimbikizia mali . Sasa kwa nini wanalimbikiza mali wakati wanajua kuna maisha huko ahera yanayohitaji haki na usawa na kila mtu kupata kwa haki . ? Kwa nini watafute mali kwa hila na dhulma mfano kulipa wafanyakazi ujira mdogo ,wakati wa mkoloni kuuza watu ,Kupora madini yetu na kuua maelfu ya tembo kama Wasomalia na waarabu tena kwa kuvamia na kuua wale wanaojaribu kuwazuia ?

Yule Mzanzibari akabaki akitetea dini bila hoja zenye mashiko .
Nilishangaa zaidi alipofikia mahali pa kusema kuwa Eti Mtume Mohamad ndiye Mwanasayansi Mkubwa kuliko wanasayansi wate waliowahi kutokea na watakaotokea duniani 😳😳😳
Nikashangaa sana .

Hivi watu walioshikiliwa akili kiasi hicho wanawezaje kuelewa hoja za mtu yeyote awe msomi au maamuma ? Zaidi wataelewa hoja za kidini kwa kila eneo?

Wanasahau kuwa Hata hizo nchi za kiarabu zimepata maendeleo makubwa kwa kushirikiana na nchi za magharibi katika teknolojia na uchumi sio dini ?
Sasa kila kitu wanahusisha na dini !
Ndio maana Machawa wote hawana hoja zaidi ya kujificha kwenye Udini .
Mtu anakaa kabisa anasikiliza ushauri wa Shehe Mwaipopo halafu anapuuza ushauri wa Maaskofu waliosoma Sheria za kimataifa,sheria za dini zote , na filosofia na wengine madaktari na maengineer n.k ?
Yote ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuchambua Mambo bila kuegemea dini .
Dini ikitumika vibaya inazalisha watu wajinga sana .
Ndio maana Kanisa na ukristo awali uliingia Afrika ukiambatana na Elimu ili kuwakomboa watu kimwili na kiroho .
Kosa kubwa ni la wanasiasa kujiona kuwa wao ndio wenye nchi . Wanasahau kuwa hata pasipokua na wanasiasa maisha yanaendelea na nchi inaendelea . Kama ilivyo kwa makundi mengine .

Siasa ni kundi tu kama lilivyo kundi la madaktari ,wanasheria , Walimu ,Wanajeshi,viongozi wa dini katika jamii ,Polisi n.k katika kulijenga taifa .
Sasa wanasiasa wamepora kabisa Mamlaka ya Umma unaowakilisha makundi yote hayo . Tena wanasiasa ndio walitakiwa wawe kundi lililoko chini kabisa na lenye unyenyekevu mkubwa kwa umma kwa sababu wanapata nafasi zao kama wawakilishi sio wataalam na uwakilishi wao ni wa muda mfupi . Cha ajabu hata waliopata kwa bahati nao wanataka kutumia Nguvu kujikweza na kulazimisha wakae miaka kumi kwenye ofisi wakati hata muda wa majaribio umeshinda katika kuonyesha uwezo wao wa kuliunganisha taifa na kuheshimu makundi mengine katika jamii . Kuwa Rais hakumuongezei mtu maarifa au akili au kumfanya kuwa Mungu na kujiona yupo juu ya kila kitu mpaka uhai wa watu.

Tuhakikishe mabadiliko yanafanyika na Wanasiasa na watawala wanarudishwa kwenye mstari ili wasijione wao ni muhimu na familia zao kuliko binadamu wengine . Ndio maana Samia kwa mfano haionyeshi kabisa kuguswa na majonzi ya Yatima na wajane waliouawa kutokana na kukosoa tu kwa maneno kwenye mitandao .

Mtoto amechora picha ya Mama yake akiwa amevaa hijabu Nyekundu baadae akaiona imekaa vibaya kisha akaichana .
Anakamatwa kama vile amechana Nyara za serikali . Yaani picha haina hata jina . Sawa amekamatwa akapigwa faini, Ajalipa kwa michango ya watu . Watu wanajiona wao ni bora na wa muhimu sana kuishi wakamtaka na labda wakamuua na kupoteza maiti yake .
Sasa tujiulize Je,mama Abduli angejisikiaje kama angekua ni mtoto wake amemkosoa Lisu au amechana picha ya Maalim Seifu wakati ule halafu akatekwa na kupotezwa ?
Angeona ni sawa mtoto wake kupotezwa kwa sababu tu ya kuchana picha ya Maalim Seifu ?

Elimu ya Wakati wao ilikua ni bora kwa wale waliosoma kwenye shule za Serikali za Boarding ,na waliokaa Hosteli vyuoni au waliosoma full time Vyuoni na kuchanganyika na watu wa imani na tabia na kabila tofauti ndani na nje ya nchi .
Wenye elimu ya Wakati wao tofauti na hapo ni watu waliowekwa na kundi fulani (State capture)
 
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.

Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?

Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.

Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.

Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.

Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.

Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Umejichanganya sana. Next time don't drink too much before posting.

Ila una point. Hatuna viongozi. Ni Washwahili wanaochukulia uongozi kama mdundiko.
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.

Me? I’m a master's degree holder, mtu wa maana na akili timamu. Wewe unayekaa back office ukidelete post zetu bila hata kujua content ilikuwa na power gani, what do you even have? A certificate in ass-kissing or what?

Tanzania imesimama mahali pamoja si kwa sababu ya uchawi, ni kwa sababu ya nyie ma clown mnaofanya maamuzi kwa emotions instead of brains. Huku mtaani tunaona, tunasuffer, but nyie mnakula mic kwenye majukwaa kama comedians bila script.

Psychological colonization bado iko active — we ain’t free, we just pretending to be woke while y’all still mentally kneeling to the same broken system.

Unaona mtu ana title ya Honourable lakini akili ni kama ya class two — no vision, no direction, just big suits and small brains.

Stop playin’ with people’s lives like it’s Monopoly, this ain’t no game bro — this is real life, real hunger, real future being wasted.

Just know u ain’t silencing me — u just proving how scared y’all are of the truth. And the truth don’t die, it multiplies.
Lugh yako ni mbovu kwa kiswahili au kiingereza, yote mbovu.

Ila ni kweli tunatawaliwa na Waswahili wenye uzalendo zaidi kwa waarabu kuliko Tanzania. Wako tayari kuwapa rasilimali zetu zote.
 
Haya mambo ya kujitambulisha kisomi yalianzia kwenye chi za kiafrika, hasa Nigeria.

Mimi nilikuwa sijawahi kusikia msomi wa fani ya uhandisi akijitangaza kuwa Mhandisi...
Na sasa wasomi wetu wa Sheria nao Title yao ni "Msomi...." Sijui wenye digrii za Biology, Geography, n.k. nawao wataanza kuwa na Biol......; Geogr..... n.k.
Naona Makala, Katibu Mwenezi wa CCM yeye ni CPA Makala, bila shaka CPA ikiwa na maana ya Certified Public Accountant?

Yote haya ni ulimbukeni tu, sawa na kuwavisha majoho ya kuhitimu watoto wa chekechea.

BTW: Hivi hakuna aliyekwisha mtunuku u-daktari rais pendwa Trump? Ingekuwa hapa kwetu vyuo vyetu vyote vingekuwa vinakanyagana kuwahi kumtunuku u-daktari wa heshima, na yeye awe Dr, Trump!
Nimecheka!! Kuna RC mmoja alizungusha 0, ila kwa muonekano na upiga sound kwenye media ni zaidi ya professor!
Kuna mtindo tena umezuka wa kuvaa miwani Tinted ukiwa unahutubia watu hata kama yuko ndani pasipo na jua. Hili halikuwepo zamani, siku hizi ni design. Bado natafuta sababu yake.
 
Back
Top Bottom