Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

Dr Ulimboka alitekwa na Ramdhani Ighondu ,Ulimboka mwenyewe alimtambua na pia Side Mnyamwezi Kubenea aliweka hadi ushahidi wa mawasiliano yao A to Z ,hakukuwa na mawasiliono ya Ighondu na JK bali Ighondu alifanya kwa utashi wake mwenyewe.
Kwahio huyu mtekaji ndio mgombea ubunge?? Karma itafanya kazi yake
 
Mkwere sio mnafiki. Anaongea ukweli. Nakumbuka miaka yake walikuwa wakipingana kwa hoja bungeni baadae anawaita ikulu anasikiliza hoja za kila upande then wanamaliza. Hakukuwepo kupigana risasi, kutekana au kupotea kwa watu kwa miaka yote 10. Hongeraaa rais Kikwete.
Wakwere asili yao ni unafiki. Pengi JK sifahamu vizuri
 
Back
Top Bottom