Labda we kigogo, huku mtaani sasa hivi watu washaanza kuona maeneo yao kuwa na zahanati na ambulance sio luxury tena ni haki yao ya msingi; na dhana imejengeka ndani ya miaka mitano tu.
Kunufaika sio lazima kila mtu apate financial gain, public and merit goods investment ni sehemu ya kuwagusa watu.
Hata ukiwekewa taa ya bararani mitaa ambayo usiku ulikuwa kupita urafikiria mara mbili kukataza, ila uwepo wa taa unakupa ujasiri kupita economically umenufaika.
Sasa hivi watoto kukaa chini tena madawati wanaona sehemu ya haki zao, unaweza kuona ni kwa namna gani Magu kabadili fikra za watanzania kuona vitu gani ni haki yao; wakati miaka mingi tu kukaa chini au kutokuwa na zahanati ilikuwa inaonekana ni kawaida tu.