Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?Marehemu hasifiwi kwa kudanganya bali kwa kueleza ukweli wa alichokifanya.
Huwezi kumsifu marehemu kuasisi mpango wa Taifa wa maendeleo wa vision 2025 halafu ukadanganya eti vision hiyo imefikiwa wakati bado!
Maendeleo ya kweli hayajengwi kwa uongouongo. JK alikuwa sahihi kumuelezea marehemu kwa muktadha huo
Msome hapo ☝Zitto alivyoponda siku chache tu baada ya Tanzania kuingia kwenye kundi la ‘middle income’ na kila siku alikuwa akibeza tweeter hakuna cha kujivinia kwenye hilo.
Kwa ivyo unataka upande wa pili umnyamazie tu atembelee nyota yao. Politics is about exaggeration and fibs to boost your ratings.
Kulikuwa na mambo mengi ya kuongelea kuhusu marehemu uitaji kujustify kitu ambacho wenzako walikuwa wanapinga kwa maslahi ya kundi sio Magufuli.
Anyway JK yeye mwenyewe alikuwa akilalama wakati wa muda wake baadhi ya wasaidizi walikuwa wakimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Inawezekana kabisa waliomshawishi aweke record sawa yeye mwenyewe hakujuwa wanalenga nini.
But that was not an accident