Dr Ulimboka alitekwa na Ramdhani Ighondu ,Ulimboka mwenyewe alimtambua na pia Side Mnyamwezi Kubenea aliweka hadi ushahidi wa mawasiliano yao A to Z ,hakukuwa na mawasiliono ya Ighondu na JK bali Ighondu alifanya kwa utashi wake mwenyewe.
Mkwere sio mnafiki. Anaongea ukweli. Nakumbuka miaka yake walikuwa wakipingana kwa hoja bungeni baadae anawaita ikulu anasikiliza hoja za kila upande then wanamaliza. Hakukuwepo kupigana risasi, kutekana au kupotea kwa watu kwa miaka yote 10. Hongeraaa rais Kikwete.