OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba
Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni yasifanye tuone makosa ya kikatiba yaliyofanyika yalikuwa na nia yoyote ovu dhidi ya aliyetakiwa kuapishwa.
Naweka rekodi sawa tu.
Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni yasifanye tuone makosa ya kikatiba yaliyofanyika yalikuwa na nia yoyote ovu dhidi ya aliyetakiwa kuapishwa.
Naweka rekodi sawa tu.