Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba

Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni yasifanye tuone makosa ya kikatiba yaliyofanyika yalikuwa na nia yoyote ovu dhidi ya aliyetakiwa kuapishwa.

Naweka rekodi sawa tu.
 
Imagine
 
Asilimia 99.9 ya wabunge wetu hawaijui katiba kabisa.
 
Hivi kwanini kumekuwa kunafichwa mtu aliye kuwa anataka achukue nafasi rais baada ya kifo cha JPM?
 
Magufuli alikuwa haijui katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…