mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Yule si ni mjinga tuI
Ingekua na Nyerere ameoa uchagani hapo tungeongea
Huko wapo wasukuma waliohamia tangu nyerere akiwa RaisWanawake wa kichaga ni wazuri Generally
Ndio mimi kiongozi mtarajiwa. Kutaja kabila langu ni isionekane nawaponda wachaga. Nimekuambi hoja ya mada inahitaji risachi zaidiWewe Mchaga Ulitaka uolewe wewe na Kiongozi? Soma mada, elewa mada. Wewe ni Kiongozi?
Toa uchambuzi mtaalamu mabinti wa kichaga wamewazidi wapi mabinti wa Jamii zingine ? chapu mkuu niingie Rombo nikachukue jikoWanaambiwa na Nani?
Jamii zingine haziambii mabinti zao?
Hao wenye future wanalazimishwa kuoa hao wachaga?
Maana umetoa hoja yako kana kwamba waoaji(wanaume) wao ni mazuzu hawajui kilichobora kwao.
Wewe Kila mwanamke akikuzengea zengea utamuoa? Au ulimuoa mwanamke anayekuzengea zengea?
Kwa nini unaukimbia ukweli kuwa hao mabinti za kichaga kuna sehemu wamewazidi mabinti wa jamii zingine?
Toa uchambuzi mtaalamu mabinti wa kichaga wamewazidi wapi mabinti wa Jamii zingine ? chapu mkuu niingie Rombo nikachukue jiko
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema
Zamani ilikua shule nyingi zipo huko,so kupata mke walau form four ilikua rahisiToka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
11. Oscar Kambona,
12. Benjamin Mkapa.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema
Ukitaka kuishi ndoa yenye amani na furaha,oa pwaniVipi wewe ushaolewa au bado? Hakuna mtu mwenye akili anaweza oa pwani.
Issue ilikua shuleOrodha aliyoitoa mtoa mada ni viongozi waliozaliwa miaka ya 70-80 ambao robo au nusu Yao wameoa wachaga.
Sababu kubwa hapo ni kuwa miaka hiyo hasa kuelekea 90 mabinti wengi wa kichaga walipelekwa pelekwa shule na wanaelimu aidha ualimu, unesi, uhasibu n.k.
Hivyo wengi walifit vigezo vya wanaume waliokuwa wamejiingiza kwenye uongozi au biashara.
Sio kwamba mabinti wa makabila mengine hawakuwa wamesoma ila walikuwa wachache. Tofauti na Wachaga ambao ni wengi ukilinganisha na jamii zingine.
Hii ni tofauti na miaka kabla ya uhuru na wakati WA Uhuru 1961-1970.
Kwa sasa viongozi wengi wanaoa makabila mengine na sio wachaga tuu kwa sababu ya mabinti wengi pia wa jamii zingine wamesoma.
Lakini pia wameamka na tabia zingine za uchapakazi.
Kingine ukioa uchagani ni ngumu kupata usumbufu wa kupigwa vizinga au kubebeshwa mizigo ya familia ya mkeo. Hii pia ni sababu.
Utakutana na changamoto zingine lakini sio hiyo.
Kingine mabinti wa kichaga au wakwe wachaga kama wanauwezo hawaoni shida kusaidia WAKWE zao na mabinti zao. Hii ni tofauti na jamii zingine.
Ambapo ukioa umeoa natatizo ya ukoo mzima
bora kwingine kuna uafadhali mfano wahehe,wabena ila hawa wachaga maslahi wameweka mbele mno kuliko utu.Ukioa wapi ndo parapanda linakuwa mbali nawe in anytime?
Issue ilikua shule
Babu yako ni nani nchi hii?Yule si ni mjinga tu
Binti una akili fupi mnoUkweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule
Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future
Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection
Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa
Huo ndio mpango mzima
Ila msisahau
Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana