Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari.
Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa?
Bosi wa ofisi hiyo nyeti aliyepita ni mchungaji kabisaaaaa wa madhabahuni na hata you tube yako mahubiri yake lakini aliyoyafanya wote tuliyaona.
Aliyekuwa bosi wa imani yenye asili ya uarabuni wa mkoa wenye pesa bongo.( Jina linafanana na gari ya alphard) alikuwa hakauki kwenye meza za mahali pa juu pa wanasiasa kipindi cha mzirankende kumbe li alphard lilikuwa ofisi nyeti linaripot na payroll tamu.
Ile kamati ya maridhiano ya wanadini ni manyeti matupu. KIUFUPI usijichanganye ukawaamini.