Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari.

Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa?

Bosi wa ofisi hiyo nyeti aliyepita ni mchungaji kabisaaaaa wa madhabahuni na hata you tube yako mahubiri yake lakini aliyoyafanya wote tuliyaona.

Aliyekuwa bosi wa imani yenye asili ya uarabuni wa mkoa wenye pesa bongo.( Jina linafanana na gari ya alphard) alikuwa hakauki kwenye meza za mahali pa juu pa wanasiasa kipindi cha mzirankende kumbe li alphard lilikuwa ofisi nyeti linaripot na payroll tamu.

Ile kamati ya maridhiano ya wanadini ni manyeti matupu. KIUFUPI usijichanganye ukawaamini.
 
Mbona kwa walioenda fresher course pale cuba state university wanalijua hili kitambo sana. Kati ya viongoz wa dini ambao wana score vyema kwenye ladderboard za kitengoni ni ndugu zangu katika kristo mapadre. They are smart sana na ndio maana ni potential kule.
 
Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari.

Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa?

Bosi wa ofisi hiyo nyeti aliyepita ni mchungaji kabisaaaaa wa madhabahuni na hata you tube yako mahubiri yake lakini aliyoyafanya wote tuliyaona.

Aliyekuwa bosi wa imani yenye asili ya uarabuni wa mkoa wenye pesa bongo.( Jina linafanana na gari ya alphard) alikuwa hakauki kwenye meza za mahali pa juu pa wanasiasa kipindi cha mzirankende kumbe li alphard lilikuwa ofisi nyeti linaripot na payroll tamu.

Ile kamati ya maridhiano ya wanadini ni manyeti matupu. KIUFUPI usijichanganye ukawaamini.
Kama una uhakika na ulisemalo, kwa nini uongee kwa mafumbo? Si umtaje kabisa huyo unayemsema? La sivyo ni majungu tu unayoyasema.
 
Awali nilipokuwa mtoto mdogo wa shule ya msingi na sekondari sikujua kitu hichi. Utu uzima dawa, baada ya kujua hawa viongozi wetu wa dini wengi ni majasusi na makachero sina hamu ya kuwasikiliza mahubiri yao na matamko yao tena. Ni wanasiasa na makada kindakindaki, wanafanya kazi za dini kama wale wamisionari waliotangulizwa na wakoloni tukawaona ni watu wa Mungu kumbe wako kwenye spesho misheni. Tuishi tu kwa maadili ya kiutu tukiamini Mungu yupo na hataki maovu. Hayo ya viongozi wa dini ni siasa na abrakadabra tu kama hawa wanasiasa wa siasa za matango pori
 
toka paroko msaidizi wa jimbo langu tabora atufokee kama mbwa kisa tunapiga kelele kanisani muda wa mafundisho ya komunio nilianza kuhisi hawa nao ni migambo.
 
toka paroko msaidizi wa jimbo langu tabora atufokee kama mbwa kisa tunapiga kelele kanisani muda wa mafundisho ya komunio nilianza kuhisi hawa nao ni migambo.
Hahaha

Kwanini mpige fujo mkuu
 
Hahaha

Kwanini mpige fujo mkuu

[emoji1787][emoji1787]si Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu!!!

jamaa alitubadilikia akasema tena maipokuwa makini nawafutia mafunzo wote hakutakuwa na comunion mwaka huu,nikasema shaaaaa[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36].hii tone ni ya kama rpc tu[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom