Tetesi: Viongozi wengi waandamizi CHADEMA tayari wana tiketi mkononi, kusafiri nje ya nchi wakati wowote kuanzia sasa

Punguza story za vijiweni, maneno mengi hamna facts
si ungeweka za ofisini kwako sasa zenye facts kuliko kubabaika na maneno machache,

by the way,
facts zitakua wazi pale utakapokua unaskilizia maumivu ya kuteguliwa kiuno na taya hospitalini amana, huku wenzio wakiwa wanankula nata ng"ambo
 
Ofisin kwangu zinahusu nini kwenye hii topic? Unapoleta mada ku accuse watu fulani au taasisi hakikisha mada yako ina contain facts, and some evidence

Hakuna mtu anaamini maneno tupu, punguza gahawa bro
 
kwanza jitahidi sana kuamini Mungu pekee, acha kuamini ushirikina,

ushahidi utakua ni wa vitendo pale utakapokua unauguza maumivu makali sana ya virungu mwili mzima, wakati hao vibaraka watakuwa wanainjoy huko kwa mabwenyenye zao
 
Blah blah hakuna cha imani hapa, huna fact huna evidence punguza kelele brother
 
unababaika nini sasa na kung'ang'ana nami gentleman?

Si ujitokeze tu kwa maandamano tupate ili tupate facts za utakavyong"olewa meno kwa kiburi na ukaidi wako, huku wenzako wakitafuna nyama ughaibuni πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…