Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
Kama ni uongo, subiri j3 mnavyotumiwa kama condoms, wenzenu kwa kutumia picha zenu za vipigo vyenu wanaenda kupata maisha nje ya nchi.Acha uongo, haikusaidii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni uongo, subiri j3 mnavyotumiwa kama condoms, wenzenu kwa kutumia picha zenu za vipigo vyenu wanaenda kupata maisha nje ya nchi.Acha uongo, haikusaidii kitu
si ungeweka za ofisini kwako sasa zenye facts kuliko kubabaika na maneno machache,Punguza story za vijiweni, maneno mengi hamna facts

Ofisin kwangu zinahusu nini kwenye hii topic? Unapoleta mada ku accuse watu fulani au taasisi hakikisha mada yako ina contain facts, and some evidencesi ungeweka za ofisini kwako sasa zenye facts kuliko kubabaika na maneno machache,
by the way,
facts zitakua wazi pale utakapokua unaskilizia maumivu ya kuteguliwa kiuno na taya hospitalini amana, huku wenzio wakiwa wanankula nata ng"ambo![]()
kwanza jitahidi sana kuamini Mungu pekee, acha kuamini ushirikina,Ofisin kwangu zinahusu nini kwenye hii topic? Unapoleta mada ku accuse watu fulani au taasisi hakikisha mada yako ina contain facts, and some evidence
Hakuna mtu anaamini maneno tupu, punguza gahawa bro

Blah blah hakuna cha imani hapa, huna fact huna evidence punguza kelele brotherkwanza jitahidi sana kuamini Mungu pekee, acha kuamini ushirikina,
ushahidi utakua ni wa vitendo pale utakapokua unauguza maumivu makali sana ya virungu mwili mzima, wakati hao vibaraka watakuwa wanainjoy huko kwa mabwenyenye zao![]()
unababaika nini sasa na kung'ang'ana nami gentleman?Blah blah hakuna cha imani hapa, huna fact huna evidence punguza kelele brother
Ya hao uliowaandalia tiketi,isiwe tu yakuzimumashambulizi yakimtandao au?🐒
Sio na mzee wa mapangoni?aah hao tiketi wameandaliwa na wafadhili wao ikiwa ni pamoja na balozi moja hivi wa huko ng'ambo 🐒
Utajua tuu.hiyo sifahamu kwakweli 🐒