Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

Mtu mwenye akili anaweza kufurahia hii Habari kweli??

Dogo hivyo vijihela mnavyopewa lumumba ili mlete propaganda za oijingac visikupofushe ukadhani kuwa kuiuavdemokrasia ya vyama vingi ni ujanja

Madhara yake yatakuwa makubwa sana
 
Ni mjinga kudhani p.msigwa anaipendw ccm Toka rohoni

Dogo ni hatari sana hata kwako kuustawisha mfumo wanaoutumia ccm kwa sasa kukandamiza femokrasia
 
Mtu mwenye akili anaweza kufurahia hii Habari kweli??

Dogo hivyo vijihela mnavyopewa lumumba ili mlete propaganda za oijingac visikupofushe ukadhani kuwa kuiuavdemokrasia ya vyama vingi ni ujanja

Madhara yake yatakuwa makubwa sana
acha ushirikiana,
siasa ni mipango na demokrasia ni dhana tu, huna haja ya kubabaika sana gentleman,
. Tanzania kufurahi, kusononeka au kununa ni uamuzi binafsi wa mtu.

wacha ni kumegee siri,

Gentleman,
acha uvivu huo ndiyo uchawi wako hata unakua mnyonge hivyo 🐒
 
Dogo mi Sina Cha kupoteza?
Niko vizuri kijamii na kiuchumi

Ila tu Nasukumwa na uzalendo tu

Mimi ni.miongoni mwa watu tulioshinikiza kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992

Nadhani wakati huo ulikuwa hujazaliwa

Kwa hiyo Mfumo wa demokrasia ukikandamizwa ninaumia sana
 
ungana na Mzee wetu warioba sasa ambae tunamuheshimu sana ili hatimae tuwajengee jumba la wazee wa tanganyika ambao wengi humu nchini hatuna habari nayo, ili hatimae wananchi waweze kupata nafasi ya kuwahoji vizuri ni wapi mlizubaa hadi sasa mmchoka eti ndio mnaona mambo sio mazuri,
.

Nyie sio wanafiki wenye gubu tu wazee wangu?, mnisamehe sana ikiwa lugha yangu huenda ni kali kwasabb mnaudhi sana?

badala ya kulea wajukuu mnambwelambwela mitandaoni? au ni laana zinawatesa?🐒
 
Ndoto ya mchana. Ni sawa na ya kuchapisha fomu moja ya ugombea Urais ndani ya CCM.
 
Ndoto ya mchana. Ni sawa na ya kuchapisha fomu moja ya ugombea Urais ndani ya CCM.
relax gentleman,
hakuna haja ya kubabaika wala kushupaza shingo kwenye ukweli bayana unasubiri utekelezaji tu 🐒
 
singependa kujihusisha na kufuru, tafadhali sana gentleman 🐒
Uchawa ni kufuru kubwa saña. Hujielewi hadi usifie kila kitu bila kuchuja zuri na baya. 2025 CCM haitaendelea kuwatumia mazwazwa kwa kuwa inaenda kuwa na Mgombea urais makini na anayechukia rushwa na ufisadi.
 
Uchawa ni kufuru kubwa saña. Hujielewi hadi usifie kila kitu bila kuchuja zuri na baya. 2025 CCM haitaendelea kuwatumia mazwazwa kwa kuwa inaenda kuwa na Mgombea urais makini na anayechukia rushwa na ufisadi.
ndiyo utaratibu wa CCM ulivyo gentleman,
CCM inapendekeza na kumpitisha mgombea urasi makini, mwenye dhamira na nia njema inayoonekana wazi kwa wananchi wote..

chuki na mihemko sio muhimu sana, lakini,
huyu kiongozi wa CCM anaongoza nchi kwa sasa, anaweza kuongoza hadi 2035 bila wasiwasi wasi wowote kulingana na maamuzi ya wananchi wote Tanzania 🐒
 
Kiongozi mwandamizi wa Upinzani nchini hawezi kamwe kutimkia CCM, akifanya hivyo basi alikuwa mamluki ama njaa ndiyo inamuongoza, yaani akili inatawala tumbo na tumbo ndilo linaongoza akili yake... aka anajali tumbo kuliko mstakabali wa taifa la Tanganyika miaka ijayo wakati yeye yupo kaburini.
 
there is two constants in politics:-

Interests and Betrayal.

huna haja ya kubabaika na ushirikiana mwingine.

maslahi na malengo ya kitaasisi yakitofautiana miongoni mwa viongozi wanasiasa wa taasisi moja tegemea usaliti 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…