Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni kuogopa kutekwa, kuteswa na kuuawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye akili anaweza kufurahia hii Habari kweli??Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?
Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.
Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.
Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ni mjinga kudhani p.msigwa anaipendw ccm Toka rohoniUnadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?
Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.
Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.
Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
acha ushirikiana,Mtu mwenye akili anaweza kufurahia hii Habari kweli??
Dogo hivyo vijihela mnavyopewa lumumba ili mlete propaganda za oijingac visikupofushe ukadhani kuwa kuiuavdemokrasia ya vyama vingi ni ujanja
Madhara yake yatakuwa makubwa sana
Dogo mi Sina Cha kupoteza?acha ushirikiana,
siasa ni mipango na demokrasia ni dhana tu, huna haja ya kubabaika sana gentleman,
. Tanzania kufurahi, kusononeka au kununa ni uamuzi binafsi wa mtu.
wacha ni kumegee siri,
Gentleman,
acha uvivu huo ndiyo uchawi wako hata unakua mnyonge hivyo 🐒
ungana na Mzee wetu warioba sasa ambae tunamuheshimu sana ili hatimae tuwajengee jumba la wazee wa tanganyika ambao wengi humu nchini hatuna habari nayo, ili hatimae wananchi waweze kupata nafasi ya kuwahoji vizuri ni wapi mlizubaa hadi sasa mmchoka eti ndio mnaona mambo sio mazuri,Dogo mi Sina Cha kupoteza?
Niko vizuri kijamii na kiuchumi
Ila tu Nasukumwa na uzalendo tu
Mimi ni.miongoni mwa watu tulioshinikiza kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992
Nadhani wakati huo ulikuwa hujazaliwa
Kwa hiyo Mfumo wa demokrasia ukikandamizwa ninaumia sana
Ndoto ya mchana. Ni sawa na ya kuchapisha fomu moja ya ugombea Urais ndani ya CCM.Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?
Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.
Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.
Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ona sasamuhimu sana ni kuepuka dhuluma, tamaa na kumendea wake za watu 🐒
Utekelezaji upi wakati Mungu anaweza kuamua vingine hata kwako wewe CHAWA.relax gentleman,
hakuna haja ya kubabaika wala kushupaza shingo kwenye ukweli bayana unasubiri utekelezaji tu 🐒
CHAWA kama wewe atakuchukuwa ukafanye UCHAWA kwake.umeamua kuanza kumpangia Mungu gentleman?🤣
Uchawa ni kufuru kubwa saña. Hujielewi hadi usifie kila kitu bila kuchuja zuri na baya. 2025 CCM haitaendelea kuwatumia mazwazwa kwa kuwa inaenda kuwa na Mgombea urais makini na anayechukia rushwa na ufisadi.singependa kujihusisha na kufuru, tafadhali sana gentleman 🐒
ndiyo utaratibu wa CCM ulivyo gentleman,Uchawa ni kufuru kubwa saña. Hujielewi hadi usifie kila kitu bila kuchuja zuri na baya. 2025 CCM haitaendelea kuwatumia mazwazwa kwa kuwa inaenda kuwa na Mgombea urais makini na anayechukia rushwa na ufisadi.
there is two constants in politics:-Kiongozi mwandamizi wa Upinzani nchini hawezi kamwe kutimkia CCM, akifanya hivyo basi alikuwa mamluki ama njaa ndiyo inamuongoza, yaani akili inatawala tumbo na tumbo ndilo linaongoza akili yake... aka anajali tumbo kuliko mstakabali wa taifa la Tanganyika miaka ijayo wakati yeye yupo kaburini.