Viongozi wengi wanaochaguliwa lakini hawana nasaba na siasa huwa ni wachapa kazi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Hili halina ubishi dunia nzima kama kiongozi ni pure typical politician maamuzi yake mara nyingi huwa ni kwa ajili ya kufurahisha kundi la watu flani kwa manufaa ya kisiasa lakini sio kwa ajili ya manufaa ya umma na huwa sio wachapa kazi.

Mfano kiongozi wa namna hiyo yupo radhi atumie pesa za umma kwa ajili ya kufurahisha wanachama wa chama chake kwa kuandaa sherehe na watu wakala na kuchapa ulabu,lakini asijenge shule, au hospital ambayo inahitajika kwa manufaa ya umma.

Kuna kiongozi mmoja ambae wakati anataka kuchukua form ya kugombea urais wanachama wa chama chake walimpiga madongo, eti hajawahi kuwa hata kiongozi wa shina!. Kwa hiyo alionekana kuwa sio mwanasiasa mkomavu.

Lakini huyu kiongozi kwa kweli hana element za wale ambao huwa wanajigamba kuwa wao ni pure politicians ati sababu tu walikuwa wajumbe wa mashina au wenyeviti wa wilaya.

Na alipochaguliwa kuongoza nchi maamuzi yake yamekuwa sio ya kisiasa ili kuwafuraisha wanachama au kundi fulani. Ni maamuzi kwa ajili ya manufaa ya taifa na amechapa kazi kweli kweli.

Kwa muda mfupi tu ameonyesha maajabu ya kujenga vituo vya afya 433,hospital za wilaya 67 mradi wa kutiliwa mfano kama JNHHP,Sgr,Daraja la wami n.k

Huyu ni kiongozi ambae ni mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi lakini sio pure politician.

Viongozi wanasiasa kwa kufurahisha watu wanaweza kuruhusu magari yaliyozidisha uzito yapite kwenye barabara zetu na ziharibike lakini wafurahishe wapiga kura. Lakini huyu hawezi kukubali sababu misimamo yake sio ya kisiasa.

Amefanya uamuzi mmoja mkubwa sana kuweka pesa zote kwenye mfuko wa umma( consolidated fund) ili kuwabana na kuwadhibiti mafisadi na wabadhirifu.Na huu hili ndilo linalompa credit kuwa yeye ni jembe.

Maana maamuzi haya yamewaumiza wanasiasa mafisadi ambao walikuwa wanajichotea hovyo pesa za umma.
Hongera JPM.
 
Nonsense. Siasa ni fani kama fani nyingine na vyuoni kuna somo lake linaitwa Political Science. Viongozi wa kisiasa wanaochaguliwa na kuteuliwa ni wanasiasa.
 
Siasa ni ulaghai tu
Hili halina ubishi dunia nzima kama kiongozi ni pure typical politician maamuzi yake mara nyingi huwa ni kwa ajili ya kufurahisha kundi la watu flani kwa manufaa ya kisiasa lakini sio kwa ajili ya manufaa ya umma na huwa sio wachapa kazi.
Mfano kiongozi wa namna hiyo yupo radhi atumie pesa za umma kwa ajili ya kufurahisha wanachama wa chama chake kwa kuandaa sherehe na watu wakala na kuchapa ulabu,lakini asijenge shule, au hospital ambayo inahitajika kwa manufaa ya umma.
Kuna kiongozi mmoja ambae wakati anataka kuchukua form ya kugombea urais wanachama wa chama chake walimpiga madongo, eti hajawahi kuwa hata kiongozi wa shina!. Kwa hiyo alionekana kuwa sio mwanasiasa mkomavu.
Lakini huyu kiongozi kwa kweli hana element za wale ambao huwa wanajigamba kuwa wao ni pure politicians ati sababu tu walikuwa wajumbe wa mashina au wenyeviti wa wilaya.
Na alipochaguliwa kuongoza nchi maamuzi yake yamekuwa sio ya kisiasa ili kuwafuraisha wanachama au kundi fulani. Ni maamuzi kwa ajili ya manufaa ya taifa na amechapa kazi kweli kweli.
Kwa muda mfupi tu ameonyesha maajabu ya kujenga vituo vya afya 433,hospital za wilaya 67 mradi wa kutiliwa mfano kama JNHHP,Sgr,Daraja la wami n.k
Huyu ni kiongozi ambae ni mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi lakini sio pure politician.
Viongozi wanasiasa kwa kufurahisha watu wanaweza kuruhusu magari yaliyozidisha uzito yapite kwenye barabara zetu na ziharibike lakini wafurahishe wapiga kura. Lakini huyu hawezi kukubali sababu misimamo yake sio ya kisiasa.
Amefanya uamuzi mmoja mkubwa sana kuweka pesa zote kwenye mfuko wa umma( consolidated fund) ili kuwabana na kuwadhibiti mafisadi na wabadhirifu.Na huu hili ndilo linalompa credit kuwa yeye ni jembe. Maana maamuzi haya yamewaumiza wanasiasa mafisadi ambao walikuwa wanajichotea hovyo pesa za umma.
Hongera JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense. Siasa ni fani kama fani nyingine na vyuoni kuna somo lake linaitwa Political Science. Viongozi wa kisiasa wanaochaguliwa na kuteuliwa ni wanasiasa.
Mkuu tofautisha political science na leaders who typically politicians.Ambao maamuzi yao muda wote politically motivated.
 
Enhee! Sasa kiongozi hii haikwepeki, maamuzi ya politicians ni politically motivated! Ni ukweli kuwa politics ime dominate kila aspect ya maisha yetu! Ndio maana tunawaitaga watu wapumbavu wakisema siasa haiwahusu, eti almradi wanapata kula yao basi inatosha as if wao ni funza! Siku zote tunasisitiza siasa ichangamane na fani na taaluma nyingine kwa namna bora, yaani maamuzi ya wanasiasa yawe well informed.
 
Hujanielewa unaweza ukawa mwanasiasa lakini maamuzi yako muda waote ni politically motivated. Mfano sababu wewe ni mbunge wa Chadema hata Rais akinunua ndege kwa hela cash unapinga tu. Sababu kila kitu ni siasa tu kwako. Lakini kuna mbunge mwingine wa Chadema akaunga mkono sababu yeye anapenda maendeleo.
 
Back
Top Bottom