Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu.
Nimejiuliza swali, hivi viongozi wetu hawatembei kuona majiji ya wenzetu yalivyosheheni barabara nzuri?? Huwezi kuicha sehemu inayokuzalishia zaidi ya asilimia 60 ya mapato yote ya nchi iendelee kuwa na barabara mbovu tena za Tanroads. Ingekuwa na miundo mbinu safi za barabara si ingezalisha zaidi ya hizi asilimia kwenye mapato?
Tunamuomba mh Rais aangalie uwezekano wa kuhakikisha barabara zote za Tanroads Dar zinakuwa na lami. Makakati uanze na zile za Tanroads then Tarura itakuwa baadae.
Nikiangalia majiji ya wenzetu na kuingalia Dar nasikitika sana kwa kweli. Barabara nyingi ni mahandaki. Tuongeze lami ili tukuze mji, hii inasaidia pia kurahisha shughuli za kiuchumi maeneo yenye lami. Uchumi wa eneo unapokua ndo hata kodi zinavyoongezeka.