Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Maamuzi magumu kama hayo yanaweza kuchukuliwa na watu kama Lowasa, kwanza wana uchumi wa kutosha.Kama spika Ndugai angechukua uamuzi wa kujiuzuru angejijengea heshima kubwa,kinyume anakanusha akidai amenukuliwa vibaya.Kimsingi matamshi yawe yamenukuliwa vibaya au yawe ndiyo maneno halisi aliyoyatamka anapaswa kupisha
Duh! Inafikirisha sana !!Shida ni kwamba ndani ya CCM hakuna aliye msafi wa kumnyooshea kidole mwenzake hivyo huu utamaduni wa kujiuzuru kwa kuwajibika usitegemee utaendelea kuwepo.
Ni wazi kwamba spika alikosea sana, Rais amevaa kofia mbili na hii ndio tumekuwa tukilalamikia pia, amevaa kama Mwenyekiti wa chama na pia boss mkuu wa nchi.
Sasa spika kwa namna yeyote hawezi kumsema Rais sababu akienda kwenye chama ni boss wake na akirudi kwenye serikali ni boss wake.
Back to the point ni kwamba, ndani ya CCM hakuna wa kumuita mwenzake na kumwambia ajiuzuru sababu wote hawana moral authority ya kumsema mwenzake.
Unaweza kuona kabisa msimamo wa spika upo wapi hata kama ameomba msamaha wa kinafiki, dhamira na ujasiri uliomtuma kuongea vile haviwezi kuondoka, tatizo ni nani sio mnafiki ndani ya CCM???
Hata Samia alijinafikisha kwa Magufuli, sisemi Magufuli alikuwa mtu wa maana sana Ila nakazia hoja ya nani amfunge chui kengele??? Wote wanafiki na wanaishi kwa huo unafiki na ndio maana spika amejikuta anaropoka na yakamfika mwenyewe.
Hata akina nape walijinafikisha Ila mwishowe wakaumbuka, sasa Magufuli alikuwa mtemi ndio maana aliwanyoosha sio kwamba alikuwa msafi maana nae alijinafikisha kwa Kikwete.
So mwisho wasiku unakuja kutambua kwamba maisha ya wanasiasa wa Tanzania yamekaa unafiki ndio maana hakuna wa kumwajibisha mwenzie.
Sijaona kosa la Ndugai mimi. Yeye alikuwa anajenga hoja ya kwa nn tozo zikawepo. Na anasema upende usipende utakatwa tu kwa vile tumezidi mikopo. Anasema ni heri tukatwe tozo kuliko kwenda kunyenyenyekea watu huko na deni likizidi kupaa. Yeye main point yake ilikuwa kuelezea umuhimu wa tozo. Wakatokea wapuuzi flani wakatwisti ajenda. Ila amefanya mistake sana kuomba msamahaWanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili
Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
Wanabodi Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi. Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi...www.jamiiforums.com
Hili ni bandiko la swali.
Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.
Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Hii Video Clip Inayosambaa
Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.
Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.
Paskali
Huyu ajiuzulu tu..kamchana Rais parefu mnoo.. hakuna namna tena.Wanabodi,

Sasa kama hajafanya kosa kwanini kasema "NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA?"Hakuna kosa lolote alilofanya Ndugai kila mwananchi anahoji hela ya tozo inaenda wapi?
Selling point ya tozo wakati inaletwa na waziri Nchemba ilikuwa hizo hela zinaenda kujenga madarasa na zahanati, je imekuwaje tena tukakopa trillion 1.3 kujenga madarasa ?
Blaza Jumapili naenda kuitolea sadaka hii thread. Barua ya kujiuzulu ya mzee Mwinyi imenikosha sana. Mzee alikuwa muungwana sana tangu akiwa kijana...Wanabodi,

Kwani hizoTrillioni 1.3 zimejenga madarasa tu au zimefanya na kazi nyingine Kama zilivyoombwa?Hakuna kosa lolote alilofanya Ndugai kila mwananchi anahoji hela ya tozo inaenda wapi?
Selling point ya tozo wakati inaletwa na waziri Nchemba ilikuwa hizo hela zinaenda kujenga madarasa na zahanati, je imekuwaje tena tukakopa trillion 1.3 kujenga madarasa ?
Kabisaa hapa tunataka majibu na si blah blah,Hakuna kosa lolote alilofanya Ndugai kila mwananchi anahoji hela ya tozo inaenda wapi?
Selling point ya tozo wakati inaletwa na waziri Nchemba ilikuwa hizo hela zinaenda kujenga madarasa na zahanati, je imekuwaje tena tukakopa trillion 1.3 kujenga madarasa ?
Mkuu atakulia tena taimingi bungeni, hujakoma tu "kudhalilisha" mhimili?😀Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili
Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
Wanabodi Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi. Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi...www.jamiiforums.com
Hili ni bandiko la swali.
Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.
Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere,
View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Hii Video Clip Inayosambaa
Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.
Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.
Paskali
Wanabodi,