Mi naamin Prof Asad alikuwa sahihi kuhusu viongoz tuliokuwa nao. Alikuwa sahihi pia kuhusu bunge tulilonalo maana nilimsikia Ndungai akilalamikia bunge kupitisha vitu sivyo. Yeye akiwa Spika. Tatu. ukimsikiliza hii kauli alivyosema nimekosa mimi nimekosa sana utajua amelazimika tu kuomba msamaha ila ndan yake hayuko sawa. Mwisho. Mi nadhan viongoz wengi wamepatikana kwa kujipendekeza au unafiki au kujuana so ukiangalia hakuna mfumo wa uandaaji viongoz so hakuna mzalendo zaid sana wapo washakaji kwa hiyo hakuna wa kuwajibika. Na hili lipo mpka kwa wananch wa kawaida.
Shida ni kwamba ndani ya CCM hakuna aliye msafi wa kumnyooshea kidole mwenzake hivyo huu utamaduni wa kujiuzuru kwa kuwajibika usitegemee utaendelea kuwepo.
Ni wazi kwamba spika alikosea sana, Rais amevaa kofia mbili na hii ndio tumekuwa tukilalamikia pia, amevaa kama Mwenyekiti wa chama na pia boss mkuu wa nchi.
Sasa spika kwa namna yeyote hawezi kumsema Rais sababu akienda kwenye chama ni boss wake na akirudi kwenye serikali ni boss wake.
Back to the point ni kwamba, ndani ya CCM hakuna wa kumuita mwenzake na kumwambia ajiuzuru sababu wote hawana moral authority ya kumsema mwenzake.
Unaweza kuona kabisa msimamo wa spika upo wapi hata kama ameomba msamaha wa kinafiki, dhamira na ujasiri uliomtuma kuongea vile haviwezi kuondoka, tatizo ni nani sio mnafiki ndani ya CCM???
Hata Samia alijinafikisha kwa Magufuli, sisemi Magufuli alikuwa mtu wa maana sana Ila nakazia hoja ya nani amfunge chui kengele??? Wote wanafiki na wanaishi kwa huo unafiki na ndio maana spika amejikuta anaropoka na yakamfika mwenyewe.
Hata akina nape walijinafikisha Ila mwishowe wakaumbuka, sasa Magufuli alikuwa mtemi ndio maana aliwanyoosha sio kwamba alikuwa msafi maana nae alijinafikisha kwa Kikwete.
So mwisho wasiku unakuja kutambua kwamba maisha ya wanasiasa wa Tanzania yamekaa unafiki ndio maana hakuna wa kumwajibisha mwenzie.
1.Anaomba msamaha so kwasababu kakosea bali anajua nguvu ya Rais mfalme anayelindwa na KATIBA mbovu. Japo yeye ni kiongozi wa mhimili wenye nguvu unaopaswa kuisimamia serikali lkn anajua , Rais anaweza fanya lolote. Ukizingatia anaangalia future yake. Tafsir yake Ni kila mwenye nafasi anajitahidi kulinda kitumbua chake hata kwa kujifedhehesha.
2.Hawezi kuwajibika/kujiwajibisha kwa sababu hata kwa kutofanya hivyo pia Hakuna wa kumwajibisha. Hakuna wa kuwajibika na Hakuna wa kumwajibisha. Mwenye mamlaka ya kumwajibisha akijaribu kufanya hivyo anajikuta anajiwajibisha na yeye pia.
Huo utamaduni kwa sasa haupo.Tungeweza kua na huo utamaduni kama tungeuweka kikatiba.ila kwa porojo za mdomo na kuoneana aibu usitegemee ilo kutokea.sasa hivi madaraka ni fursa sio utumishi tena.
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili
Wanabodi Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi. Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi...
www.jamiiforums.com
Hili ni bandiko la swali.
Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.
Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere, View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Hii Video Clip Inayosambaa
Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.
Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.
Sijaona kosa la Ndugai mimi. Yeye alikuwa anajenga hoja ya kwa nn tozo zikawepo. Na anasema upende usipende utakatwa tu kwa vile tumezidi mikopo. Anasema ni heri tukatwe tozo kuliko kwenda kunyenyenyekea watu huko na deni likizidi kupaa. Yeye main point yake ilikuwa kuelezea umuhimu wa tozo. Wakatokea wapuuzi flani wakatwisti ajenda. Ila amefanya mistake sana kuomba msamaha
Ndugai amevuna alichopanda...ila kwa hili tukio la kuomba msamaha je huu mhimili utaweza kweli kuisimamia serikali ipasavyo.? Au ndio umesalimu amri kwa mhimili mwingine?
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa, naomba bandiko hili, lisichukuliwe kuwa ni hit back. Mimi nimewahi kuandika sana kuhusu uwajibikaji na mambo ya watu kuombana misamaha batili
Wanabodi Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya matukio, lakini hatuna uchambuzi wa matukio na hatuna wachambuzi. Kwa vile mimi ni miongoni mwa waandishi...
www.jamiiforums.com
Hili ni bandiko la swali.
Kwa kadri ya siku zinavyokwenda, wale watu wa Nyerere wanazidi kupungua, katika generation hii iliyopo, waliokuwa wanaujua utawala wa Mwalimu Nyerere ni wachache, wengi ni new generation ya utawala wa Mwinyi, Mkapa, JK, na JPM, hivyo inawezekana kabisa, wengi wasielewe kuwa enzi za Nyerere, viongozi wetu, walipofanya makosa ya wazi, sio tuu waliomba msamaha, bali msamaha huo uliandamana na barua ya kuwajibika, hivyo nauliza, kwa viongozi wetu hawa wa sasa, pale wanapofanya makosa ya wazi kabisa, tuwaache waombe tuu msamaha na life kuendelea as usual, au sasa tujenge utamaduni wa viongozi kuwajibika kwa makosa yao, na wasiishie kuomba tuu msamaha, tena misamaha mingine ni misamaha batili kwa kutoa visingizio, vya eti nilinukuliwa vibaya!, bali msamaha uandamane na barua ya kuwajibika, kama enzi za Nyerere?.
Naomba kwanza niwaonyeshe msamaha wa enzi za Nyerere, View attachment 2067207
Na kwa msiofahamu kisa hiki, sio Waziri Mwinyi pekee alijiuzulu, Rashidi Kawawa aliondolewa kwenye umakamo wa pili wa rais. Waziri wa Usalama wa Taifa, Peter Siyovelwa alijiuzulu.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Emelio Mzena Alistaafishwa, IGP, Samuel Pundugu Alistaafishwa, Kamisha Mkuu wa Magereza Alistaafishwa. Kisha ngoma ikahamia Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Peter Kisumo, alimwaga unga. RPC, RSO, OCD na DC wa Mwanza sio tuu walimwaga unga, bali walifikishwa kwa Pilato na wote wakala mvua nyingi, isipokuwa mshitakiwa mmoja tuu, aliyekuwa anatetewa na wakili mahiri, Murtaza Lakha, ndie alinusurika.
Hivyo jee mnaonaje, huu msamaha ulioombwa leo live kwenye TV, pia uandamane na barua rasmi ya kuomba msamaha wa kweli, ukiandamana na kuwajibika?, au msamaha tuu unatosha?.
Hii Video Clip Inayosambaa
Mimi ni mtu wa Audio Visual, hivyo nikiangalia tuu a video clip, naweza kujua kama imefanyiwa makeke au laa. Hii video clip ni Bonafide Genuine, toka kwa a trusted source. Mzungumzaji hayo aliyozungumza ni maneno yake mwenyewe halisi. Hajalishwa maneno yoyote wala hii video, haijafanyiwa makeke yoyote!.
Jee Wajua Kuna Kuomba Msamaha Wa Kweli na Kuomba Msamaha Batili?.
Sii wengi wanaojua kuna misamaha ya kweli na misamaha batili.
Msamaha wa kweli ni pale mtu unakosa, kwanza kwa kukubali kosa, pili kujutia kosa, tatu kuomba msamaha wa dhati na mwisho ku take responsibility kwa kuwajibika kwa kubeba the consequences ya makosa yako, na kupisha ofisi ya umma kupunguza embarasment caused.
Msamaha batili ni pale mtu umekosa, badala ya kukiri kosa, unatafuta visingizio kwa kutafuta the scapegoat na shift the blame kwa wengine kwa kudai au umenukuliwa vibaya au video clip imefanyiwa maujanja!. Ile video ni bonafide genuine, haijafanyiwa maujanja yoyote, hivyo hayo matamshi, ni matamshi halisi ya mhusika. Kuomba msamaha kwa kutafuta kusingizio chochote, ni kuomba msamaha batili. Kwa mlioisikiliza hiyo video, jee kuomba tuu msamaha kunatosha, au pia awajibike?.
Hakuna kosa lolote alilofanya Ndugai kila mwananchi anahoji hela ya tozo inaenda wapi?
Selling point ya tozo wakati inaletwa na waziri Nchemba ilikuwa hizo hela zinaenda kujenga madarasa na zahanati, je imekuwaje tena tukakopa trillion 1.3 kujenga madarasa ?

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.