Viongozi wetu wengi wanakosa busara, wamejawa mihemko, hasira na ghiriba nyingi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni binadamu kama binadamu wengine kuna madhaifu anakuwa nayo. gazeti lake maarufu sana la Rai lilikuwa ni moja ya magazeti yangu pendwa miaka ya nyuma.

Nikifuatilia pia kwa ukaribu ana "RAI YA JENERALI" akiandika makala nyingi mbalimbali za kisiasa. Huyu Jenerali aliwahi kuwa na nafasi katika Uongozi sikumbuki kama ilikuwa Ukuu wa Wilaya au nini. Lakini alikuwa ni mtu wa karibu na Mkapa miaka hiyo mpaka walipokuja kukorofishana baada ya kutotimizwa mambo kadhaa ambayo alikuwa ameahidiwa.

nimekuwa nikipenda spirit ambayo amekuwa nayo katika siasa na harakati. ni mwana harakari mzuri pia. miaka mingi hii nikijifunza kuhusu ukosoaji wa staha usiojaa chuki na husda niliweza jifunza kitu kutoka kwa Lowassa. Lowassa kama binadamu alikuwa na mapungufu yake. Lakini ni mmoja ya watu ambao wana mioyo ya kiume hasa ya ustaarabu katika siasa ulipotiliza. Huyu ni mtu ambaye alitukanwa sana miaka ya ya nyuma. Akaendelea kuishi na waliomtukana lakini hata alipokosewa na kidhalilishwa sana hakutaka ujibu mapigo ukichukulia alikuwa katika nafasi nyeti sana ya Uwazir Mkuu. Alivumilia yote akaendesha siasa za kistaarabu.

Jenerali ana tabia ya kudhani yeye ana akili sana kuliko watanzania wengine. ukatumiaji wake wa lugha katika kuwasilisha mambo yake ni wa kimihemko, kebehi na dhihaka kwa watanzania. anapaswa ajifunze kuwa na lugha ya staha. Awasilishe maoni yake kwa kustahi wengine na kuelewa kuwa katika changamoto zote ambazo taifa limepitia hatukuwa mazuzu tuliona kinachofanyika ila hatukuwa na namna ya kubatilisha. akama ambavyo hata sasa tunaona yanayofanyika ila hamna namna ya kubatilisha si sababu ni mazuzu.

Nchi hii imepitia hatua nyingi sana za hovyo. Ni huyu huyu Jenerali ambaye mwanzoni kabisa alisema kama yeye angekuwa Rais wa Nchi hii KIkwete alipaswa kuwekwa ndani. Hii kauli aliizungumza mapema sana akielezea suala la bunge la katiba. Jenerali ni mtu anayeifahamu siasa ya Tanzania kiasi fulani siwezi kujilinganisha naye hata kidogo. Ila naangalia namna ambavyo anakuwa na kauli zenye kujaa machafuko au anawaza kimachafuko chafuko sana. sielewi kwa nini mtanzania huyu amejawa na maneno magumu yenye ukakasi kila wakati anapotaka elezea jambo zuri tu ambalo lingeelezewa vizuri lingesaidia nchi kwa ujumla.

"NIMESHASEMA NJOONI MNIUE"
 
Wewe ulitataje. Tatzo lenu vijana wa Lumumba mlishajimilikisha hii nchi na mnaona wengine wote ni wapangaji. Kuna watu wanaotoa Kali za kipuzi na kijinga kama vyiongozi wa ccm ambazo zinagusa maisha ya wananchi Moja kwa moja. Lkn mko kimya. Mbona hua hamkemei. Ulimwengu ni miongoni mwa watu wanaongea ukweli siku zote. Nanukuu maneno yake machache. "Viongozi wa nchi hii wakishapewa nafasi wanajiona wanajua kila kitu na wanakua na akili zaidi ya wanaowaongoza. Na wanawaona wananchi wa kawaida ni wajinga wote. " Na mkiambiwa ukweli mnasema ni wapinzan hata kwenye mambo ya msingi

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilitaka ndo niwe baba yako.... Kwanini asingiziwe mtu mwingine wakati wewe damu yangu.
 
Back
Top Bottom