Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
🚮 Rubbish!!!Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Kwahiyo ndio mara ya kwanza kwao kucheza hiyo ligi? Kuna wakati tutumie vichwa kufikiri badala ya matakoTatizo hawana protakali za michezo ya kimataifa
Ila Mods siku hizi mmebadilika!! Yaani mnaweza kuvumilia UZUSHI mpaka ukaonekana ukweli?Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Watafilika mapema kama msimu uliopitaWakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
ni droo kwa ajili ya kutafuta mshindani. Akishapatikana, underdog anaanzia nyumbani na anamalizia ugenini. Huo ni utaratibu wa CAF kwa hatua ya awali, na wala si uchaguzi wa klabu. Upatikanaji wa nani ni underdog hufuata ranking ya CAF ya vilabu kwa miaka mitana inayokuwa imetangulia....Ile ni droo... Ikikuangia utaanzia popote...
Senzo anayumba. Juzi hapa ameiingiza hasara klabu kwa kuweka order ya kambi Uturuki. Jamaa wamekomalia malipo kulingana na mkataba, maana Yanga imeamua kwenda MorogoroIla Mods siku hizi mmebadilika!! Yaani mnaweza kuvumilia UZUSHI mpaka ukaonekana ukweli?
Acheni kudanganyana bhanaah... Wameomba lini? Una uthibitisho..? Au ndio umbulula...
Kwanza unaombaje... Kwani kila ikiomba je..? Ile ni droo... Ikikuangia utaanzia popote...
Nawahurumia wazazi wako wana hasara sana kufuga lifara miaka yote hioWakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Barua inayoonysha wameomba ipo wapi?Umekula zako makande kisha unakuja Jf kuandika mashudu tupu.Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia kufurushwa mashindanoni.
Nb: nyie Yanga Afirika si mnasema mna watu sasa nyeye za nini?
View attachment 2294168
Shangaa hapo sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbwembwe za nini wakati watapigwa nje ndani hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaaaah.Wewe na mwenzako Njaakarihatari aka Jemedari! mna shida kweli! Kutwa mnaanzisha zisizo na kichwa wala miguu kuhusu Yanga!
Sijui mnaumwa nini!
Watajuaje haya? Akati wao level zao ni Moro Utd na matombo centre. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni droo kwa ajili ya kutafuta mshindani. Akishapatikana, underdog anaanzia nyumbani na anamalizia ugenini. Huo ni utaratibu wa CAF kwa hatua ya awali, na wala si uchaguzi wa klabu. Upatikanaji wa nani ni underdog hufuata ranking ya CAF ya vilabu kwa miaka mitana inayokuwa imetangulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa mie.Rivers utd wanawaangalia Uto kisha wanasema,"hiii,"