Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa.

Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia wamemwakikishia kuwa atapata nafasi ya kufunga.

Kama ambavyo Nchimbi alihakikishiwa dhidi ya Gwambina kuwa naye angalau siku ile afute gundu. Wanayanga sasa wanatembea kifua mbele wakiwa na uhakika wa ushindi kwa baadhi ya team kutokana na maandalizi ambayo yanakuwa yamefanywa. Ili msimu huu kuhakikisha wanachukua kombe.

Hongera sana kwa viongozi wa Yanga. Daima mbele nyuma mwiko.
 
Vihurumie vidole vyako ku type ujinga
 
Nashukuru kuzaliwa Tz kushuhudia vituko vya club inaitwa yanga ambavyo huezi kuviona popote duniani
 
Hawa jobo fc wanaendeshwa sana na huyu ntizabanzonkiza
 
Pole mrs nchimbi
Nasikia wake na michepuko ya wachezaji wa Yanga wamejitolea kumbeba Sarpong kumpeleka uwanjani kama mashabiki wa Yanga walivyompokea Airport.... hii ni kuongeza jamaa na chachu ya upachikaji magoli kwa mchezaji huyo nyota wa kimataifa anayechezea timu ya Taifa ya Ghana....
 
Yani wewe punbavu kweli, mabingwa tuko bize na mechi, tunajiandaa kutangazwa mabingwa, halafu tuje kuhangaika na ntibanzoka, huyo tukimtaka hata kesho jioni tunamchukua mavi wewe chezea pesa ? Unaijua hela wewe
Mbumbumbu ushaanza tukana, utakuwa bodaboda sio bure
 
Yani wewe punbavu kweli, mabingwa tuko bize na mechi, tunajiandaa kutangazwa mabingwa, halafu tuje kuhangaika na ntibanzoka, huyo tukimtaka hata kesho jioni tunamchukua mavi wewe chezea pesa ? Unaijua hela wewe
Ukimtaka ww unamchukua?rage hajakosea kuwaita mbumbumbu hela za mwanaume unatambia nazo ww mitandaoni.
 
Back
Top Bottom