Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

Gsm ndo anaongoza timu.
Lakini wenyewe wanakwambia timu ya wananchi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa.

Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia wamemwakikishia kuwa atapata nafasi ya kufunga.

Kama ambavyo Nchimbi alihakikishiwa dhidi ya Gwambina kuwa naye angalau siku ile afute gundu. Wanayanga sasa wanatembea kifua mbele wakiwa na uhakika wa ushindi kwa baadhi ya team kutokana na maandalizi ambayo yanakuwa yamefanywa. Ili msimu huu kuhakikisha wanachukua kombe.

Hongera sana kwa viongozi wa Yanga. Daima mbele nyuma mwiko.
Kama ni kweli basi uto ina uongozi dhaifu sana...
 
Eti kahakikishiwa kufunga hahaha!!!
 
Back
Top Bottom