Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao.
Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika.
Swali langu hawa watu wanakwama wapi kuvibadili vipaji hivi kuwaletea maendeleo?

- Je ni umasikini?
- Je ni kuridhika na kutuzwa hivi vi 10k?
- Je hawajitambui kuwa wanatembea na utajiri?